Msukumakizazi
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 2,599
- 2,089
Huwa unawatoa wapi wa hivyo? mbona mimi niko msafi tu!!! jitahidi kuchagua.Wanaume wengi ni wavivu kufanya usafi wa nguo za ndani, soksi na hata makao makuu. Unakuta jitu limefuga manyele ya kwapa kama rasta, kule kwa dushe ndo usiseme loh! Embu nyoeni muepuke aibu na magonjwa.
Wanaume zama zimebadilika.