Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,493
- 176,572
Kweli kabisa usafi wa mwili ni wa mtu binafsi hivyo wakitaka eti ukimkuta ana kichaka eti uende ukanunue topaz hiyo hata siafiki kwa kweli.
Nimekumiss pia dada ake tena sana. Niambie dada yangu mzima weye?
Khaaaah!! Yaani hawa bwana, kila tatizo lao huwa wanawaamishia wanawake wakati ni wachafu tu!!
Mie mzima wa afya kipenzi, sijui weye?