Wanaume palilieni shamba lenu

Wanaume palilieni shamba lenu

Ni kweli, lakini umewahi kutambua kuwa kuna wanawake wanapenda misitu maeneo hayo?
Umewahi kufikiria kuwa ipo sanaa ya kuzitumia nywele za huko zikanogesha mechi?
Bila shaka hapana, basi sio kila jambo ni baya kwa wote.
NB:
Hilo la usafi ni sahihi
Mkuu hivi viumbe havieleweki asee
 
Ukikutana na mwanaume wa hivyo mwambie tu ajifanyie fatiki au we umfanyie usafi na mambo mengine yaendelee
 
Wala usipoteze muda kuvielewa, utachelewa kusaka pesa
Na hii kazi sitoifanya asee

Mi wangu akiniona nimenyoa, siku hiyo nahitaji mpaka teaching aid ili anielewe kwa nini nimenyoa, huwa ananinyoa yeye mwenyewe kwa kwa wakati na saizi anayoiona inamfaa

Sasa huyu nae anahimiza tunyoe sisi, si kuwekana njia panda
 
Nao huo ni utafiti !!!! Zile za puani! Sawa kila mmoja anaziona. Zile za kidevuni ! Sawa hazijifichi
Zile za kwapani! Sawa yawezekana vest imevaliwa

Msitu huu utafiti wake mgumu inahitajika Maelezo zaidi
 
mkuu pole kwa kuwa na mwanaume mchafu........ pia inaonekana wewe pia una hulka hiyohiyo kwanini umwache mpenzi wako awe katika hulka hiyo...😡😡😡
 
Umeachika tayari, umerudi... Najua kwa hasira zako, ndo umeanza kumuanika muhenga mwenzio hapa,.. Tutasikia mengi

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 
Wanaume wengi ni wavivu kufanya usafi wa nguo za ndani, soksi na hata makao makuu.

Unakuta jitu limefuga manyele ya kwapa kama rasta, kule kwa dushe ndo usiseme loh! Emu nyoeni muepuke aibu na magonjwa. Wanaume zama zimebadirika.
uliyekutana nae ni hatari kama ni kweli
 
ni hao tuu uliokutana nao wewe aiseee.. hebu kutana na mimi uje ushuhudie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom