Wanaume palilieni shamba lenu

Wanaume palilieni shamba lenu

Mbona lugha iliyotumika imeeleweka, kitu gani usichoelewa au mshale umetua kwenye moyo?
Nimeielewa tatizo nilitaka kuhakiki kama kweli umefanya tafiti kwa msisitizo huu nakuaminia
Hujasimuliwa umejionea mwenyewe.

Naamini wahusika ujumbe umefika next time utakuta lami kama Dar mpaka Moro
 
Ujumbe uwafikie tu kwakweli.

Hivi unajua mekumiss!!
Kweli kabisa usafi wa mwili ni wa mtu binafsi hivyo wakitaka eti ukimkuta ana kichaka eti uende ukanunue topaz hiyo hata siafiki kwa kweli.

Nimekumiss pia dada ake tena sana. Niambie dada yangu mzima weye?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom