kingdom1
JF-Expert Member
- Jun 14, 2013
- 231
- 59
Kweli tupo tofaute aise...ila akiwa na miguu..lazima na maini yatakuwa yapo...
Ujue hatuwezi kufanana kwa vipao mbele, ila kuna vile common ambavyo almost kila mmoja anaprefer.
Kweli tupo tofaute aise...ila akiwa na miguu..lazima na maini yatakuwa yapo...
nyapu yake.ha ha haMwongozo mkuu!
Kanuni ya 6 kifungu 0.5. Sahihisha katika nyapu yako kuwa nyapu yake. Heshima stahiki ya mwanaume.
Ngoja nipite tu.
Hapa napita tu kimya kimya,
loh unampandisha na kumshusha!Uanaume hoyee, hapo mbona sijauona. mimi huwa nawaangalia kutoka ukucha mpaka utosi, hlf ndio macho yatulie nilipovutiwa
Zamani lilikuwa likiitwa ZEGEMBE sijui kama serengeti boys wanajua hilo jina.Mimi kama alivyosema Dr.Mo huwa sijivungi katika tasnia nzima ya kusoma plate number. Usifanye masihara na inye wewe, ndomana wahenga wakalonga uzuri wa nyumba choo
ila kiukweli wanaume vicheche ndio wenye tabia hii.
uende mbio kwa lipi haswa? hivi na ss tukiwa tunaongea huku tunaangalia vikojoleo vyenu mnafikir mtakuwa mnapata tafsiri gani?