Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,824
- 23,626
haswaaaaatumehamasika kujua munadiskass nini humu.
haswaaaaatumehamasika kujua munadiskass nini humu.
no, si kwamba tuna matatizo, macho yetu ndio yanashindwa kujizuia!
Wasio vicheche huangalia nini?ila kiukweli wanaume vicheche ndio wenye tabia hii.
Kama maziwa yenyewe wanataka "cleavage" zionekana kutokana na mavazi yao, yasiangaliwe kwa nini(unavaa mavazi ya kimtego coz unataka attention ukiipata ulalamike?Wat non sense! We tumbulia macho tu mpaka uchokeee hakuna cha kuonewa huruma.....Wanaume Oyeee!
Hivi kwa nini sisi wanaume wengi wetu pindi tukiongea na mamanzii tunawangalia maziwa yao (Bosoms) muda wote. Manzi moja kanilalamikia, kwa nini sisi wanaume atuangalii sura zao kipindi tukizungumza nao bila kuangalia kifuani mwao. Hivi hili ni jambo gumu kufanya sababu mbona wao wadada wanatuangalia sisi katika macho yetu pindi wakiongea na sisi. Anashangaa kuona kwa nini wanaume wengi wapo hivi na zaidi ya yote mpaka wachungaji wapo kwenye league hii.
Wanaumeee!!
Huyu Manzi ameniomba niwaambie kwamba wanakuwa wapo UNCORMFOTABLE kwa kweli. Tuwaonee huruma kimtindo.
ila kiukweli wanaume vicheche ndio wenye tabia hii.
Wasio vicheche huangalia nini?
aisee sio kweli kwamba men vicheche ndio wenye tabia ya kuangalia hizo sehemu!kwa kawaida macho ya mtu yeyote huvutiwa kuangalia vitu mbalimbali, vizuri hata vibaya!
Oyeee!!
huo ni uchunguzi wangu binafsi. kuna namna tu anayoangalia mwanaume kicheche maeneo hayo. lol
je una uhakika uchunguzi wako umefanikiwa kupata majibu mazuri na ya ukweli?
wanaangalia machoni
Ukiangaliwa machoni si moyo utaenda mbio weye?
ndomanake..
Mimi ukaguzi unaanziaga kwenye usafiri a.k.a miguuMimi naangaliaga mzigo hasa akiondoka...
Mimi ukaguzi unaanziaga kwenye usafiri a.k.a miguu
Kweli tupo tofaute aise...ila akiwa na miguu..lazima na maini yatakuwa yapo...mguu unahusika sana ktk kuthaminisha!