kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,245
Wanaume Oyeee!
Hivi kwa nini sisi wanaume wengi wetu pindi tukiongea na mamanzii tunawangalia maziwa yao (Bosoms) muda wote. Manzi moja kanilalamikia, kwa nini sisi wanaume atuangalii sura zao kipindi tukizungumza nao bila kuangalia kifuani mwao. Hivi hili ni jambo gumu kufanya sababu mbona wao wadada wanatuangalia sisi katika macho yetu pindi wakiongea na sisi. Anashangaa kuona kwa nini wanaume wengi wapo hivi na zaidi ya yote mpaka wachungaji wapo kwenye league hii.
Wanaumeee!!
Huyu Manzi ameniomba niwaambie kwamba wanakuwa wapo UNCORMFOTABLE kwa kweli. Tuwaonee huruma kimtindo.