Wanaume njooni mnijibu swali langu

Wanaume njooni mnijibu swali langu

inasabishwa na
-Mkeo kuwa mbali
-Mme kuwa karibu sana na marafiki wa mke
-Tamaa
-Mitego
-Madhara ya mkeo kusema madhaifu kwa marafiki zake
-Uchawi marafiki wa mkeo kuna wengine wanatumia nguvu za giza kumshawishi mtu
-Marafiki kutumia njia hiyo kuchonganisha na kuharibu mahusiano
-Marafiki wa mkeo kuonyesha upendo zaidi ya mkeo
 
Hapo utamlaumu mumeo bure ila kilichopo ni sexual market value competition kati yako na hao rafiki zako. Wanataka ku prove kuwa they can get the best just like you. Na siyo hao tu, huenda hata Dada zako, binamu ama wadogo zako wa kike signal zina search au fursa ilishajitokeza wakang'atana pasipo wewe kujua. Yote hayo yanaitwa "wivu wa kike". Mwanamke ndiye anaye control sex. Godforbid! ikitokea umeachana na mumeo, hao rafiki zako hawatakuwa na time naye.
 
Kwamba mwanaume hana kosa?
 
Najua sio wote wenye jii tabia ila naimani wenye tabia hii mpo na humu
Kipi upelekea ukawa na mahusiano na watu wa karibu na mkeo??
Yan wewe hauoni mbali ni marafiki wa mkeo, majiran waliokaribu na mkeo ..yan mkeo akicheka na mtu leo kesho ushachapa
Je labda mke kuna mahali anafel au shida nn jaman?
Sex fantastic tu wengine wanapenda hivyo yaani vya karibu karibu...
 
Tatizo lenu mashost huwa mnasimuliana mambo yenu ya ndani , acheni urafiki wa kupitiliza na kuvuka mipaka , wanawake wengine hawana huruma wanafanya makusudi ili wakukomoe, kwa sisi wanaume ni nadra sana kumkataa mwanamke anaejilengesha kwangu, ushauri wangu kwako mtoa mada achana na ushost uliopitiliza , marafiki zako wa kike waambie wakae mbali kabisa na mume wako, wewe unajijua bulivyo halafu unaleta marafiki zako nyumbani kwako wengine ni warembo kuliko hata wewe, au unawaeleza namna mume wako anavyokuhandle vizr , hao marafiki zako watamani tu mumeo
 
Nadhani hao marafiki zako ni wadau wa mikopo umiza na vikoba vinavyohitaji marejesho mara kwa mara, mara nyingi wanawake wa aina hii hawezi katalia kipapiro, cha msingi jiepushe na marafiki wa aina hiyo
 
Najua sio wote wenye jii tabia ila naimani wenye tabia hii mpo na humu
Kipi upelekea ukawa na mahusiano na watu wa karibu na mkeo??
Yan wewe hauoni mbali ni marafiki wa mkeo, majiran waliokaribu na mkeo ..yan mkeo akicheka na mtu leo kesho ushachapa
Je labda mke kuna mahali anafel au shida nn jaman?
Itakuwa tamaa ya pisi Kali za Rafiki wa mkeo!
 
Najua sio wote wenye jii tabia ila naimani wenye tabia hii mpo na humu
Kipi upelekea ukawa na mahusiano na watu wa karibu na mkeo??
Yan wewe hauoni mbali ni marafiki wa mkeo, majiran waliokaribu na mkeo ..yan mkeo akicheka na mtu leo kesho ushachapa
Je labda mke kuna mahali anafel au shida nn jaman?
Wewe pigana na danga lako

Huyo siyo mume ni danga tu

Tafuta mume 🤣

Au usiwe na rafiki maana unanyota ya kumletea papa nyinginyingi danga
 
Tatizo wanasimuliana, sasa kawaida ya mwanamke huitaji kujaribu kwamba huyu na kibamia kweli au tango pori? Hapo ndipo tunatumia fulsa ya kumkula!
 
Back
Top Bottom