min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 60,706
- 175,720
Tena unanyonyesha watoto wa chatu na sio binadamu 🤔Unakula kama vile unanyonyesha!!
Tena unanyonyesha watoto wa chatu na sio binadamu 🤔Unakula kama vile unanyonyesha!!
Sijatoa lawama kwa mume bali comment yangu imejaribu kumfumbua dada kuwa mume hathamini hiyo ndoa .Hapa umetoa lawama kwa mume,yani umeangalia upande mmoja wa tatizo,
nakubaliana na hoja yako,
Ila inabidi pia uangalie na upande wa pili,hao wanawake walio karibu na mke kwani hua wana bakwa? si hua wanakubali kwa ridhaa zao,kwanini hao wanawake walio karibu na wewe wasikuheshimu wewe kwa kukataa kutembea na mume wa rafiki yao ambaye ni wewe? so,hapa tatizo sio Mume tu bali mpaka aina ya marafiki zako au watu wako wa karibu.
😅😅Sasa jukwaa la mapenzi unataka tupost nini bwashee?
Solution, ni kujua udhaifu wa mwenza wake na kujua namna ya kuukabili, sio wanaume wote wanapenda kula njeSijatoa lawama kwa mume bali comment yangu imejaribu kumfumbua dada kuwa mume hathamini hiyo ndoa .
Pia ndani ya ndoa Kuna vitu vingi vinavyojumuisha hiyo ndoa ikiwemo uthamani na utu yaani vingi kama uko kwenye ndoa utanielewa. Sasa kama unaweza kuumia juu ya usaliti kwa mtu usiyemjua??? naomba kujua huu usaliti kwa rafiki maumivu nadhani ni makubwa!!!
Basi inawezekana dada ana marafiki wa hivyo au wale wasiojali!!!! Lakini hii si sababu ya mwanaume kupitia nao!.
Pia siku hizi hizi ndoa zina mambo mengi hatuwezi kusema sanaaa!.
Pia labda ni wale ndege wanauruka pamoja ni lazima wafanane.
Comments hizi sijui huwa mnazitoa wapi? JF ushauri ni kuachanisha watu ndoa zao. Naamini wengi wa washauri zao zilishayeyuka siku nyingiHapo Hakuna mume,na Hao wachapwaji ndo mataahira kabisa,mwenye Akili unabaki Wewe mke, ukivumilia huo ujinga na Wewe unakua bonge la bwege!🤓🤓🤓🤓
Yapo madhaifu ya kukabiliana nayo na baadhi ni ngumu.Solution, ni kujua udhaifu wa mwenza wake na kujua namna ya kuukabili, sio wanaume wote wanapenda kula nje
AsanteYamekukuta nini mtoa maada? Pole .
Ukishakubali kuolewa na Mwanaume ambaye hajafungiwa "speed governor" na Yesu,jiandae kwa lolote wakati wowote!Najua sio wote wenye jii tabia ila naimani wenye tabia hii mpo na humu
Kipi upelekea ukawa na mahusiano na watu wa karibu na mkeo??
Yan wewe hauoni mbali ni marafiki wa mkeo, majiran waliokaribu na mkeo ..yan mkeo akicheka na mtu leo kesho ushachapa
Je labda mke kuna mahali anafel au shida nn jaman?
Uko sahihi na watu hubadirika na mabadiliko hutokea taratibu pasi kujua mwenza kabadirika.Tatizo usahihi wakati mwingine hubadirika. Watu wanabadirika rafiki yangu. Nimekuwa kwenye ndoa, nilikuwa nampenda sana make wangu sijui yeye, ila kwa vitendo vyake pia alikuwa ananipenda sana, ila sasa sijui kilitokea nini .. tumekuwa kama maadui toka time divorce
😅😅😅 Kufurahi talaka, sema raha sana maisha ya single..Uko sahihi na watu hubadirika na mabadiliko hutokea taratibu pasi kujua mwenza kabadirika.
Pole ndio maisha Songa mbele !!!! Kuna maisha baada ya talaka so furahia.
Kuna mtu kashauri atoke kwenye ndoa yake??Comments hizi sijui huwa mnazitoa wapi? JF ushauri ni kuachanisha watu ndoa zao. Naamini wengi wa washauri zao zilishayeyuka siku nyingi
Chochote ulichonacho/unachopitia kifurahie to the fullest😅😅😅 Kufurahi talaka, sema raha sana maisha ya single..
hapo kwenyewe umekosea na wewe ukajifunze kuandika 😅 ujiunge na uliyemshaurikuandiaka.
Mtoa maoni hatumii akili kabisaa huyo ni mmojawapo wa wazee wa hovyo miaka ijayo ambao kwenye usuluhishi hahitajikiComments hizi sijui huwa mnazitoa wapi? JF ushauri ni kuachanisha watu ndoa zao. Naamini wengi wa washauri zao zilishayeyuka siku nyingi