Kwa ushauri tu, kabla ya kuingia ndani kabisa ya mahusiano, ni vyema kujua dhamiri ya mwanamume na dhamiri yako. Ikiwa dhamiri yako ni kupata mwenza wa kudumu, haifai kujiingiza kichwa kichwa, msome na yeye ana dhamiri gani na sio kwa maneno tu. Kwa kutumia msemo wa "Hakuna anayeiona asali kuwa ni chungu", wanaume wengi huwa tuna tabia ya kuonja-onja halafu tunapotea. Vile vile, kuna baadhi ya wanaume kadiri unavyomfatafata kwa simu, barua n.k. ndivyo anavyojiona ni muhimu sana na ndo mana honesha nyodo. Uamuzi wa mwisho, usisubiri mpaka mwanamue anakuchunia, anza kumchunia wewe.
Bless you,thank you!
Mimi kama mwanamke nimepitia mengi,kama mshauri pia nimepitia mengi
Naomba mnisaide tu maswali yafuatao:
1. Ni nini waga kinabadilika kwa wanaume wengi baada ya kufanya mapenzi na msichana,wasichana wengi wanalalamika baada ya kufanya mapenzi mnabadilika na wengine hamuonekani tena????what goes wrong? Je mnapenda wasichana wa-play hard au wale wanaokubali haraka????
2.Mnavyokuwa mmewaacha wasichana,waga mnaumia ile msichana anavyokuwa anakutafuta unamchunia,simu hupokei,email hujibu,nyumbani unawaambia waseme haupo??
3.Waga mnataka nini hasa kwa msichana,yani focus yenu kubwa ni nini,sex,feelings,company au ni nini?
Natumai maswali si mengi sana.

ha ha ha ha!
ninyi wenyewe mnawapa vijana hizo ''MAKITU'' at the same time mnakuja na ''katiba zenu''.
again mnatumia hio ''MAKITU'' kama silaha ya mahusiano,mnasahau kwamba mko wengi sana hapa daslam
ACHENI ZINAA BANA!
Mi nafanyaga ivo kuongeza idadi ya maadui na kumake history manake nikija kuwa mzee wakati nawaasa wajukuu zangu ntawaambia wanawake ambao nimeshakula nao uroda a.k.a tundi ni kama laki ivi tena ninaowakumbuka achilia mbali nliowasahau.basi hapo wajukuu lazima wacheke sana mixa kushangilia babu we hakika ulikuwa mkali.events make history for the future.
Huwa tunataka SEX tu, tukishapata basi tena! Kwanini niendelee kuplea simu zako wakati nimeshapa nilichokuwa nakitaka? Labda siku nikiwa na hamu ya kuonja tena basi nitapokea simu.
acheni bana...!Zinaa tunafanya wenyewe????
Sawa kabisa,nachofurahi na mkeo na dada zako hawako exception,hayo hayo ndo wanayopita..........what goes around..............keep it up!
Ukinizungusha sana naweza nkupotezee au nikaze mpaka nikupate na nkisha kupata utaishia kusoma plate number.............................Mimi kama mwanamke nimepitia mengi,kama mshauri pia nimepitia mengi