Hiki ni kivumbi,au mie ndio sielewi ,"ni baada kuniomba tukiss kabla sijashuka ndani ya gari yake. Nilimshangaa sana, ukizingatia hanijui, simjui, ni mara ya kwanza kuniona.
Nilichokifanya mimi, nilimwambia usijal, siku nyingine but alining'ang`aniza sana, nikajuta kupanda lift za watu nisiowajua".Kwahiyo jamaa ali kiss au haku-kiss au hapo kwenye "alining'ang`aniza sana"inawezekana jamaa ali-kiss???
hivi wanawake huwa wanataka waonane na mwanaume mara ngapi ndipo amkubali?maana kujitetea kwao ni kusema yaani tumejuana leo tuu unataka mzigoSifa ulizo mpa tu,afu kusema "mara ya kwanza kumuona" haya maneno yananipa full tabia yako...nikikosea ni asilimia chache sana. na napata picha ulimalizananae vipi...
Ilikua ni jana mida ya saa3 na dk hv, nikiwa kituoni nimechoka balaa. Nilikuwa nasubiri magari yanayoelekea kwetu. Nilikuwa nimechoka kiukweli, coz usafiri ulikuwa shida sana.
Pembeni yangu kulikuwa na mkaka aliyeoneakana ni mstaarabu, na kimuonekano alionekana mtanashati, alinisogelea na kunisalimia, akaniuliza naelekea wapi? Nkamwambia, kwakuwa alionekana mstaarabu tuliongea, mawili matatu, akanambia kuna mtu alikuwa na
appointment naye, but hawakuweza kuonana, so akanambia atanidrop home, kwakuwa usafiri ulikuwa shida, nilikubali, nilimshukuru
sana.
Baada ya kunifikisha maeneo ya karibu na home, kilichonifanya niandike thread hii ndefu, ni baada kuniomba tukiss kabla sijashuka ndani ya gari yake. Nilimshangaa sana, ukizingatia hanijui, simjui, ni mara ya kwanza kuniona.
Nilichokifanya mimi, nilimwambia usijal, siku nyingine but alining'ang`aniza sana, nikajuta kupanda lift za watu nisiowajua.

Sifa ulizo mpa tu,afu kusema "mara ya kwanza kumuona" haya maneno yananipa full tabia yako...nikikosea ni asilimia chache sana. na napata picha ulimalizananae vipi...
pole sana ila ujumbe umefika.
..umeona eeh, try to think ingekuwa mara ya pili,tatu kuonana...Good point, hata mimi umeniamsha usingizini
ndiyo tulikiss naye baadaye nikamdrop mi nikageuza kurudi kutega mingo nyingine!!aliniachia na namba!!Eh halafu..ukakiss!
ukweli
ndio
huo
nilioandika
hapo,
sifa
nilizompa
ni,phisical
apearance
yake,kwani
hujui
apearance
yako
inaweza
kukutambulisha
kuwa
wewe
ni
mtu
wa
naina
gani?
..umeona eeh, try to think ingekuwa mara ya pili,tatu kuonana...
hapana
nilimpa
moyo
nikamwambia
siku
nyingine.
Yaani we ndio ulikuwa mwanaume unayemlazimisha mwenziyo akubusu siku ya kwanza tu?we manoah wewe umeanza lini hiyo tabia afu unajitaja tu bila hata aibu nikusemee kwa mimisa?
Hiyo ndo ilikuwa nauli....Ilikua ni jana mida ya saa3 na dk hv, nikiwa kituoni nimechoka balaa. Nilikuwa nasubiri magari yanayoelekea kwetu. Nilikuwa nimechoka kiukweli, coz usafiri ulikuwa shida sana.