wanaume!!nimewanyooshea mikono

Hongera mdada, una 50p% katika assignment yako uliyopewa ya kutumia Ms Word. Unasoma "UCC" eeh.. Msalimie mwalim wako mwambie akuelekeze jinsi ya kutumia keyboard manake bado hujafaulu eneo hilo!
 
nilikua mie kaka! aligoma huyo hadi jasho lilimtoka, asijaribu tena lift za usiku, tena ashukuru mie ni mwema alafu nilikua sijala cha arusha. Dunia imechafuka
pole sana ila ujumbe umefika.
 
Yaani we ndio ulikuwa mwanaume unayemlazimisha mwenziyo akubusu siku ya kwanza tu?we manoah wewe umeanza lini hiyo tabia afu unajitaja tu bila hata aibu nikusemee kwa mimisa?
nilikua mie kaka! aligoma huyo hadi jasho lilimtoka, asijaribu tena lift za usiku, tena ashukuru mie ni mwema alafu nilikua sijala cha arusha. Dunia imechafuka
 
Last edited by a moderator:
, ........ kwani
hujui apearance yako inaweza kukutambulisha kuwa wewe ni mtu wa naina gani?

Hapo kwenye blue ndio ulipojikwaa !!
Hiyo ni 'weakness' ya watu wengi sana. watu wengi wanadhani kuwa muonekano wa mtu ndio 'picha' ya mtu alivyo.
Ogopa sana muonekano wa mtu kwa nje.
Matapeli wote hapa Dar, watekaji nyara, watesaji, n.k. wote wanavaa vizuri sana.
Hapo ndipo watu wengi wanaponaswa.
Ogopa sana mtu aliyevaa vizuri sana halafu anakuongelesha kama vile mnafahamiana wakati hamfahamiani kabisa.
Jiulize, upole na ukarimu wote huo anaokuletea ni wa nini ?? Anataka kupata nini kwako wakati wewe hujamfuata kumuomba msaada wake ??
 
We na wewe walewale tu................yakikutokea unaandika wanaume umewanyooshea mikono.....umetembea nao wote?
 
kwa uandishi huu ni bora ungeanzia mwisho wa story uishie mwanzoni.
Hiki ni kivumbi,au mie ndio sielewi ,"ni baada kuniomba tukiss kabla sijashuka ndani ya gari yake. Nilimshangaa sana, ukizingatia hanijui, simjui, ni mara ya kwanza kuniona.

Nilichokifanya mimi, nilimwambia usijal, siku nyingine but alining'ang`aniza sana, nikajuta kupanda lift za watu nisiowajua"
.Kwahiyo jamaa ali kiss au haku-kiss au hapo kwenye "alining'ang`aniza sana"inawezekana jamaa ali-kiss???
 

hapana
 
Ungemkiss tu shavuni iyo ni friendship charges.
Wabishi kama nyie nawashushaga kwenye gari mbali na nyumbani kwenu alafu kwenye giza mixxer mbwa koko ili mkome kupenda mteremko wa bure.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ungemkiss tu shavuni iyo ni friendship charges.
Wabishi kama nyie nawashushaga kwenye gari mbali na nyumbani kwenu alafu kwenye giza mixxer mbwa koko ili mkome kupenda mteremko wa bure.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

mmhh!
haya
bwana.
 

Yamekukuta eeeh!!!!
 
Kiss haimaanishi kuwa wewe na yeye ni wapenzi, sema wewe uliwaza mbali sana na uenda na we ulikuwa tayari umeshavutiwa na utanashati+usitaarabu wake so alipokuomba umkiss tayar ukamaanisha yaliyoko moyoni kwako.
 
Acha mambo ya ajabu,kiss tu unakuja kutangaza huku? Ningekuomba chini je?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…