CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
- Thread starter
-
- #321
charminglady hapo season one kwishney tunasubiri season 2. Anyway nina mambo mengi sana ya kuchangia hapa but lemme come back later ngoja nifanye kazi za watu hapa kabla sijapewa kimemo
Mimi mpaka niamue tu kwamba basi leo nampa wala si kwa mbinu zakehawa watu bwana ni nouma yaan kaaz kwel kwel akidhamiria kukupata atafanya njia hata pasipo na njia inabidi tuwazoee tu na kujifunza kuwa na msimamo!!!
Kumbe unampango wa kunikaba basi siji ng'ooo
Vipi hivo, hebu nikumbushe!!!
Saana...yani ungejua?!Poa swthrt umenimiss eeeeh?:A S kiss:
Upo hai..?!vya yule dada..
Hahahahaaa nimejua mumy usijaliSaana...yani ungejua?!
Wanaume ni mashetani hata wakiinuliwa miguu ni kazi bure!
ha ha haaa penye moto mwaga petrol
Upo hai..?!
Nani kakuficha aisee...nipo sana tu....
Nani kakuficha aisee...
Ahahaa...endelea kujificha zako cha msingi uwe salama mwana harakati....usku mwemahahahahahahahaa no 1 aisee