WANAUME: Nimewainulia mikono!!

hawa watu bwana ni nouma yaan kaaz kwel kwel akidhamiria kukupata atafanya njia hata pasipo na njia inabidi tuwazoee tu na kujifunza kuwa na msimamo!!!
 
Unafikiri miss wa kinyaru anadanganyika kirahisi kwa maneno kama wangu?

Kwani maneno yanavunja nyumba au kuongeza salio au kununua simu au kumtoa mtu out grafani11 wacha zako bana mapenzi ya maneno ni ya enzi za babu zetu nakupenda mpaka nikilala nakuota au nikinywa maji nakuona kwenye glass au sili kwa ajili yako hayo mapenzi ya zilipendwa hayo hayapo tena siku hizi ni digital bana weka sera zako mezani watu wachambue kama zinauzika
 
Last edited by a moderator:
Ukiona mwanaume badala ya kuimbisha mrembo anaanza kumtaja kaka yake eti ana fedha nyingi, mara ooh mama yangu ukimuona anafanana na wewe...mara ooh grafani11 hanipendi, mara oooh niliyemwacha atakuja hapa.. nk miss wa kinyaru uje hapo kuna mtoto wa kiume na sio mwanaume.
 
Mmmmhhhhh ndo akome.....sisi tunakariri sana eti usipompa mwanaume ndo atakuoa haraka.Nani kasema hayo!!!!

Mbinu zipo nyingi.....wakat mwenzio anasubir,yupo anayemgegeda ila kwako atasubir coz lengo ni kukamilisha ratiba/list.

ehe! kweli, hakuna dume anayesubiri, kwani yeye anajua shida zako unamalizia wapi mpaka akusubiri? ila hakuna fomula
 
Umeonaeee
 

Sasa nimuimbishe mrembo wakati watoto wadogo kama wewe grafani11 hamjalala huoni majanga aise au unataka Paw anipige ban kwa kuweka maneno makali makali humu na kuwafundisha watoto wadogo kama grafani11 matusi
 
Last edited by a moderator:
Usi-generalize, wanaume wengine tuko wastaarabu sana, nilompenda niko naye - kwa sasa tuna miaka 20 kwenye maloveeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…