huu ndio maana nakupendaga Mr Rocky huna mambo ya kusukumiziana Bill,
ikifika mda wa kulipa inakua mtafutano.....
Tuliza pressure mamy hakuna wa kukupora king wako, mzima lakini
Hizi habari hizi...mapenzi yanaumiza moyo,mimi mzima hofu na mashaka
kwako ulionipa stress za asubuhi asubuhi.......
Hizi habari hizi...
Haya bwana mkubwa naona toka jana umedhamiria kile ulichowahi kuniambia utakifanya humu hata umesahau kunisabahi leo bhana.Heaven on earth nilikuambia jana huyu dogo grafani11 ni majanga halafu bado ana guts za kujitetea eti alipitiwa na alikuwa hamaanishi charminglady vere sori tunachakachua siredi kwa muda kupitisha matangazo ya biashara
Kabla ya kuanza kujibizana kwanza naomba niwakague kucha. Maana naanza kuhisi harufu ya mabwepande.mapenzi yanaumiza moyo,mimi mzima hofu na mashaka
kwako ulionipa stress za asubuhi asubuhi.......
Tuliza pressure mamy hakuna wa kukupora king wako, mzima lakini
Kabla ya kuanza kujibizana kwanza naomba niwakague kucha. Maana naanza kuhisi harufu ya mabwepande.mapenzi yanaumiza moyo,mimi mzima hofu na mashaka
kwako ulionipa stress za asubuhi asubuhi.......
Hii kitu hii kitu hii kitu hiiiii....Hizi habari hizi...
Kabla ya kuanza kujibizana kwanza naomba niwakague kucha. Maana naanza kuhisi harufu ya mabwepande.
Umechemka tena, kwa taaarifa yako huwa siendagi kwenye viwanja vinavyohudumiwa na Bar maid, mimi ni mtu wa swala tano za jumapili hata Malkia wangu anajua.Unakumbuka siku ile grafani11 alivyoleta ugomvi kisa bill yake iliongezwa elfu mbili na yule bar maid uliona alivyowaka karibu avunje na glass
Mpaka tuliona soo kusema alikuwa kwenye kampani yetu maana ugomvi usio na maana kwa ajili ya elfu mbili tuu
halafu kabill kenyewe basi tulikula kamchemsho tuu na wine kidogo ila duh balaa
Mwambie bhana, mbona yeye anampamba Mr Rocky toka jana lakini grafani11 hapandishi presha.Tuliza pressure mamy hakuna wa kukupora king wako, mzima lakini
Haya bwana mkubwa naona toka jana umedhamiria kile ulichowahi kuniambia utakifanya humu hata umesahau kunisabahi leo bhana.
:tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape: grafani bora ninyamaze maana nikisema hata sisimizi watachekaUmechemka tena, kwa taaarifa yako huwa siendagi kwenye viwanja vinavyohudumiwa na Bar maid, mimi ni mtu wa swala tano za jumapili hata Malkia wangu anajua.
Mwambie bhana, mbona yeye anampamba Mr Rocky toka jana lakini grafani11 hapandishi presha.
zimefanyaje!!!!!!!!
Hii kitu hii kitu hii kitu hiiiii....
Hata mimi nashangaa Malkia wangu ameanza lini wivu kiasi hicho, kumsifia miss wa kinyaru tu ametishia kuninyima leo.We acha wivu wako bana kwani kuna noma gani akinipamba aise
grafani11 kwani umesahau ile siku tulienda pale kupata mchemsho,Mimi na Heaven on earth tunajuana mambo yetu bana na wala hatuna mpango wa kukupindua grafani11 wasi wasi wako tuu hujui Heaven on earth ananifanyia mpango kwa mdogo wake ndo maana huwa tunahama hapa uwanjani tunaenda chumbani kule kuyaongea
Dogo angalia sana
:tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape: grafani bora ninyamaze maana nikisema hata sisimizi watacheka
We acha wivu wako bana kwani kuna noma gani akinipamba aise
Hata mimi nashangaa Malkia wangu ameanza lini wivu kiasi hicho, kumsifia miss wa kinyaru tu ametishia kuninyima leo.
Unafikiri baada ya kupamba kinachofuata sio kusheherekea hapo.We acha wivu wako bana kwani kuna noma gani akinipamba aise
Hakyanani kwa miondoko hii lazima wenye kijiba cha roho chini ya kamanda wao Mr Rocky tuwafungie maturubai mwaka huu.chakula chako kipo mezani hata sa hivi ukija kipo tayari
lakini ukiendelea hivi haki ya nani nakunyima mie
Sikufanya makusudi Malkia wangu ila jamani sio siri miss wa kinyaru leo alinifurahisha sana kwa hoja yake mpaka nikajikuta ghafla nimemsifia tu.
Unataka kumfanya askari wangu aanze kuvurumisha kirungu chake hewani...chakula chako kipo mezani hata sa hivi ukija kipo tayari
lakini ukiendelea hivi haki ya nani nakunyima mie