Wanaume na wavulana

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,281
Hivi kule club mkienda ni lazima muodoke na mtu wa kwenda kumgegeda? Inaudhi wakati umekwenda kuenjoy mziki kwankiingilio chake, umejigharamia kinywaji, anakuja mtu kukuuliza sasa vipi?

Kuwe na apps iwe inavibrate ikikutana na muindaji m. Si wite tunakwenda kutafuta club.
 
Wavulana na wanaume wanakuwa wamelipiwa kinywaji na kilaji?
Au wanakuwa wamejilipia wenyewe?
Nataka kuchangia nieleweshe vizuri hapo [HASHTAG]#skyeclat[/HASHTAG]
 
Hapa hapanihusu.

Mwanamme bora huwezi poteza muda kwenda club ,usiku huo familia yako unaiacha nanan?? .
we juzeeshe tu ,chukua wife nenda nae club mpunguze stress za ndoa siku moja moja!ume mdate miaka mitano mnaenda kila sehemu lei baada ta kuoa na kutoa nae copy mbili tatu unajifanya hutaki kwenda clyb kumbe hutaki kwenda na mkeo club!
Acha unafiki
 
we juzeeshe tu ,chukua wife nenda nae club mpunguze stress za ndoa siku moja moja!ume mdate miaka mitano mnaenda kila sehemu lei baada ta kuoa na kutoa nae copy mbili tatu unajifanya hutaki kwenda clyb kumbe hutaki kwenda na mkeo club!
Acha unafiki
Nakuambia ivi, kwanza unielewe Sijawah shika hata chupa ya pombe au hata sigara tu ,sijawah TOA mguu wangu kuifuata Anasa isokua na faida .

Mke na familia yangu tutatembelea maeneo ambayo yataipa Familia yangu BARAKA NASIO LAANA.
 
Hao ni wavulana wale ambao hawajui majukum n nn na bado hajapevuka akili zake wala fikra zake, umenena vyema
Hao kwakweli ni wavulana, yaan niache kuangalia Ulinzi wa familia yangu, mke wangu nisimpe anachotaka, wanangu wamelalaje. ... Inatokea tatizo ,mtoto anaumwa ,Baba lipo club linakunywa pombe namziki linacheza ???

Akili ingine za ajabu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom