Wanaume na wavulana

Umefanya nicheke sana ..basi kutoka kwangu mimi, wewe sio mwanamke sahihi Nayeweza kuoa.

Nataka mwanamke ambaye Atauona ulevi wangu niwakipotevu nabado Akanambia " You should stop " na akafanya mengi kuhakikisha nmeacha.

Naivo sina haja ya kukuuliza kama upo ndani ya ndoa au lah... Ila waliopo ndani ya ndoa WAKIJA HAPA WATASEMA VZUR.
Sawa
 
Hivi kule club mkienda ni lazima muodoke na mtu wa kwenda kumgegeda? Inaudhi wakati umekwenda kuenjoy mziki kwankiingilio chake, umejigharamia kinywaji, anakuja mtu kukuuliza sasa vipi?

Kuwe na apps iwe inavibrate ikikutana na muindaji m. Si wite tunakwenda kutafuta club.
Pole Sana, ulienda dar live nini,maana pale Kwa mvi kidevuni palivunjwa!!! Hii hata Kwa vibaba inatokea, "brother naomba nicheze nawe kidogo". Huko ni business tu,
 
Hivi kule club mkienda ni lazima muodoke na mtu wa kwenda kumgegeda? Inaudhi wakati umekwenda kuenjoy mziki kwankiingilio chake, umejigharamia kinywaji, anakuja mtu kukuuliza sasa vipi?

Kuwe na apps iwe inavibrate ikikutana na muindaji m. Si wite tunakwenda kutafuta club.
Kwahiyo ulidhani utaenda Kuombewa Mapepo ?
 
Da umenikumbusha club ya hapa yaan ukicheza mijanaume hiyo hivi wanajua wanawake wote mule ni wauzaji
 
Hivi kule club mkienda ni lazima muodoke na mtu wa kwenda kumgegeda? Inaudhi wakati umekwenda kuenjoy mziki kwankiingilio chake, umejigharamia kinywaji, anakuja mtu kukuuliza sasa vipi?

Kuwe na apps iwe inavibrate ikikutana na muindaji m. Si wite tunakwenda kutafuta club.
There is no way nitakukuta club, alone na una mvuto nikuache, lazima nikusemeshe kwa lengo la kukuleta kwenye 18 zangu. kukusemesha ni pamoja na kutumia financial muscles kukuvuta. Chance ya kuchomoka is virtually nil
 
we juzeeshe tu ,chukua wife nenda nae club mpunguze stress za ndoa siku moja moja!ume mdate miaka mitano mnaenda kila sehemu lei baada ta kuoa na kutoa nae copy mbili tatu unajifanya hutaki kwenda clyb kumbe hutaki kwenda na mkeo club!
Acha unafiki
Kuwa serious,,, mke aliekwambia anapelekwa club nani???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom