Wanaume na wavulana

Wanaume na wavulana

Hivi kule club mkienda ni lazima muodoke na mtu wa kwenda kumgegeda? Inaudhi wakati umekwenda kuenjoy mziki kwankiingilio chake, umejigharamia kinywaji, anakuja mtu kukuuliza sasa vipi?

Kuwe na apps iwe inavibrate ikikutana na muindaji m. Si wite tunakwenda kutafuta club.
Sasa hapo unashindwaje kukataa!
 
Mtakuja mbebe wanyonya damu shauri zenu
Ajali kazini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .

Kwanza kuepuka kwenda na mpenzi wako night club unaepusha mengi sana kwa manufaa ya penzi lenu, ni sawa na kuepuka kukagua simu ya mpenzi wako.
 
Ajali kazini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .

Kwanza kuepuka kwenda na mpenzi wako night club unaepusha mengi sana kwa manufaa ya penzi lenu, ni sawa na kuepuka kukagua simu ya mpenzi wako.
Ila kubeba mwanamke mwingine club sio hatari kwa penzi lenu eeh
 
Hivi kule club mkienda ni lazima muodoke na mtu wa kwenda kumgegeda? Inaudhi wakati umekwenda kuenjoy mziki kwankiingilio chake, umejigharamia kinywaji, anakuja mtu kukuuliza sasa vipi?

Kuwe na apps iwe inavibrate ikikutana na muindaji m. Si wite tunakwenda kutafuta club.
Kila mtu yupo tofauti,Mi sometimes nikiona mrembo hana mtu nampa offer halafu naachana naye.
 
Huwezi kumkuta mwanaumē night club, muda huo yupo na familia nyumbani. Huko club ni kwa wavulana na wasìchana wawindajì
 
Hawa wenzetu wanawaza tofauti sana, wakikuona upo mwenyewe maeneo yale wanahisi wahitaji kampani/ Unatega..
Wengi ndiyo hivyo...

ila kwani mnakereka kwa lipi kuambiwa au kwenda?
 
Mnatupa wakati mgumu ujue... mnatuchagulia pa kuwatongozea kweli?
Hatuwachagulii, lakini ukimuendea karibu na kuona hana time kabisa na wewe....Unajiongeza tu kuwa huyu sie.
 
Hatuwachagulii, lakini ukimuendea karibu na kuona hana time kabisa na wewe....Unajiongeza tu kuwa huyu sie.
Ebu niambie nampango nije PM unampango na mie au hauna ili nijiongeze mapema nisikusumbue
 
Back
Top Bottom