Wanaume na wavulana

Sawa kaka angu lakini kupanga ni kuchagua...Mimi niliacha kwenda club siku niliyoitwa mama,earlier msukuma nilikua nampeleka pale Dom NK siku moja moja!!

Mwingine bado anakula ujana
Kuitwa mama sio inshu , inshu nikuitwa mama ukiwa na mume.

Mama anayeishi pekee tena kwa rika lenu ,kama ulikua mtu wa Club ,hata ukiwa na watoto, utaenda tu.... Lkn mama mwenye mume?? Utaanzaje kwanza kwenda Club??

Mbona simpo tu kuelewa.

Let me ask you....nawala usizunguke

Wee nimkristo/muislam umefunga ndoa ya kidini TAKATIFU , Unaweza kaa umruhusu mwanamme wako kwnda club? Naye anakuambia naenda club nitarud baadaw?? Unaweza ??

Aaahhhhhhhh nacheka sana.
 
Ghetto la jamaa
Ohoooo yaan ..dem alikua anakaa namama yake.

Siku iyo akaenda kwa mwanammw wake

Nyumban mama akafa.

Kupigiwa simu hapatikan,, kumbe amezima ...

Sasa hao ndugu nn kiliwasukuma waende kumtafuta gest?? Inamana walikua wanajua yeye nimtu wa gest sana??.


Kwa kisa chako hiki cha kubuni, mawazo yako yanamanisha ivi "" kwenda sehem yoyote tuende lkn simu zetu ziwe on sio"" .

Kwaufupi, kisa chako umeshindwa kukipangilia vizur mpaka kilete maana ya utetezi wa hoja yako Mkuu.
 
Kuitwa mama sio inshu , inshu nikuitwa mama ukiwa na mume.

Mama anayeishi pekee tena kwa rika lenu ,kama ulikua mtu wa Club ,hata ukiwa na watoto, utaenda tu.... Lkn mama mwenye mume?? Utaanzaje kwanza kwenda Club??

Mbona simpo tu kuelewa.

Let me ask you....nawala usizunguke

Wee nimkristo/muislam umefunga ndoa ya kidini TAKATIFU , Unaweza kaa umruhusu mwanamme wako kwnda club? Naye anakuambia naenda club nitarud baadaw?? Unaweza ??

Aaahhhhhhhh nacheka sana.
Km starehe yake namruhusu tu si hobby km zingine
 
Hivi kule club mkienda ni lazima muodoke na mtu wa kwenda kumgegeda? Inaudhi wakati umekwenda kuenjoy mziki kwankiingilio chake, umejigharamia kinywaji, anakuja mtu kukuuliza sasa vipi?

Kuwe na apps iwe inavibrate ikikutana na muindaji m. Si wite tunakwenda kutafuta club.
Aaaah akili ya pombe mkuu, tukishakunywa sana na kucheza muziki kinachobaki ni kutafuta demu wa kumgegeda.
 
Km starehe yake namruhusu tu si hobby km zingine
Umefanya nicheke sana ..basi kutoka kwangu mimi, wewe sio mwanamke sahihi Nayeweza kuoa.

Nataka mwanamke ambaye Atauona ulevi wangu niwakipotevu nabado Akanambia " You should stop " na akafanya mengi kuhakikisha nmeacha.

Naivo sina haja ya kukuuliza kama upo ndani ya ndoa au lah... Ila waliopo ndani ya ndoa WAKIJA HAPA WATASEMA VZUR.
 
Hawa wenzetu wanawaza tofauti sana, wakikuona upo mwenyewe maeneo yale wanahisi wahitaji kampani/ Unatega..
 
Pole sana...

Wengi wanaenda club na mentality ya kwamba lazima watie au watiwe...

Siyo tu kwa mwanaume kumfuata mwanamke kwa tamaa za ngono, hata wanawake wanajisogeza hivyo hivyo kwa mwanaume...


Cc: mahondaw
Wengine tunakwenda tu kutoa stress za maisha na tunajigharamia wenyewe
 
N

Wengi wao wanaondoka na vituko asubuhi akiwa sober mwenyewe anajistukia
Na kujuta juu. Wakiona mtu kapaka make up anavutia wanadata kesho sasa wakiamka wanaaanza kujiuliza niliondoka nae vipi. Kuna mkaka kwanza handsome na ana kazi nzuri. Hajawahi kulala peke yake. Na hana gf. Kila siku anapata mwanamke mpya. Na hatoi hata 100 zaidi ya pombe na chakula unakula. Hadi nikamuuliza ina maana we ukienda club unajua kabisa lazima uondoke na mwanamke? Akasema eeeh tena sasa club wananitongozaga wenyewe na siwez kuwakatalia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom