Wanaume na nywele za sehemu ya siri

Wanaume na nywele za sehemu ya siri

Jamani mbona tunachangia mada wote wanaume na wanawake? Acha nichapie na ya wanawake kutoosha hasa hasa zile tarehe maana mhhh akipita tu kimenuka

ndo nimewashauri muanzishe thread.......hapa tunawzungumzia wanaume...

nyie anzisheni sie tutaja kuchangia
 
hii post unatudhalilisha tu wanaume....nilikutana na girl tunakutana first time,joto la dar kavaa t-shirt ya mikono mifupi(that is ok),,,,i was happy kumwona nikamkumbatia,nikashangaa mwenzangu anabana vikwapa hajifeel free,nikachungulia nikaona kwapa zimelowa jasho yani maji kibao,kwapa zimenyolewa vizuri ila na ile jasho na maji ya humo mpaka ukungu mweupe...halafu bonge la mrembo

si unaona uzuri huyo alikuwa kashave......niambie angekuwa hajashave ingekuwaje......

Sifa zote na ziende kwa huyo mdada...kajijali anapoweza...btw i wish i could know how u guys relate
 
Mtoa madaa big up kwa uliyoyaona maana ni XXL kuliko mpaka umeyamwaga hapa daaa ni kweli bhana mtu unaweza kusuka dred hukoooo hadi rangi inabadilikaaa ucseme boxer ile tom hilfiger ndo zinabamba bac nyekundu inakuwa kijivu cjui usafi 0%
 
Kaka umeua,kama ndevu zangu tuu siku tatu zimeota. Sasa hiyo miezi minne duhh.Mia
wewe kwa kuwa umeshajizoesha ndio maana inakuwa hivyo ila sisi wagumu nywele zenyewe kuota zinajishtukia.
Nalog off
 
Sikutegemea manenow kama haya. ni hataree. naimagine harufu inayotoka hapo kwako. boxer wiki nzima sio mchezo
hahahah harufu yake inakuwa ya kawaida mno,inakuwa haina utofauti na yule anayeivaa kwa siku.
Nalog off
 
Jitahidini kukwangua nywele za sehemu ya siri na nywele za kwapani.

Pia bila kusahau boxer zenu kubadilisha walau mara nne kwa wiki.

Ni ombi tu
Hii unatwambia sisi Watanzania wenzako au yule bwana wako wa Kikenya?
Nalog off
 
hahahaha Sista sipati picha ukifuga itakuwaje?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom