Wanaume hawafai kabisa hawa. Mnakutana siku moja tu kwenye semina anajifanya amekufa ameoza juu yako. Wizi mtupu.
poleeeeeeeeeeeee Husninyo
Yamekukuta nawe siyo?
Kila semina uendayo unakuwa na mpenzi mpya...kwa stail hyo afya zitasalimika na HIV KWELI? Am scared....!
so unayakabili vipi?
Wanaume hawafai kabisa hawa. Mnakutana siku moja tu kwenye semina anajifanya amekufa ameoza juu yako. Wizi mtupu.
Wanaume hawafai kabisa hawa. Mnakutana siku moja tu kwenye semina anajifanya amekufa ameoza juu yako. Wizi mtupu.
Aaaa! siku hizi wanakuja kwa njia za ulokole! watch out girls!
Husy darling siku hizi si wanaume peke yao!hata wanawake wamecharuka mydia usiombe! Akishakamata mshiko anatembeza offer kwa aliyemdondokea ili mradi tu apate wa kumpashisha joto mpaka mwisho wa seminar!
Hali ni mbaya maana siku hizi tunashindana, Mr akihonga nyumba, mke anahonga gari
Mr akihonga gari,mke anatoa offer ya mafuta
Mr akitoa offer ya mafuta, mke anahonga simu ili mradi tu kila mtu anaingia kwenye game!
Aaaa! siku hizi wanakuja kwa njia za ulokole! watch out girls!
kwa hiyo kama wewe ni mdada mwenye akili timamu.. kwanin u mind!! why should you bother!! potezea
Aaaa! siku hizi wanakuja kwa njia za ulokole! watch out girls!