Wanaume na Ndoa mpya za kwenye semina .....!

Haha semina unalipiwa chumba hilo utalalaje peke yako bhana we kamata mke wa au mme wa m2 chezeni gemu. Mana hata ukitaman 2 pia umezini.
 
Hapo umenena........



Husy darling siku hizi si wanaume peke yao!hata wanawake wamecharuka mydia usiombe! Akishakamata mshiko anatembeza offer kwa aliyemdondokea ili mradi tu apate wa kumpashisha joto mpaka mwisho wa seminar!

Hali ni mbaya maana siku hizi tunashindana, Mr akihonga nyumba, mke anahonga gari
Mr akihonga gari,mke anatoa offer ya mafuta
Mr akitoa offer ya mafuta, mke anahonga simu ili mradi tu kila mtu anaingia kwenye game!
 
nimetoka kwenye semina ya kusimamia mtihani mmoja wa kitaifa.. "jina kapuni".. kila mwanamke niliye jaribu ku.. "flirt" naye... alikua ready... so sijui kuna nin hapa. kosa la mwanadada au mkaka..

Wewe kwanini uliflirt nao; nao walikuwa katika research ili wajue how men behave! Unapimaje kuwa ready? Walikupa?
 
kwa hiyo kama wewe ni mdada mwenye akili timamu.. kwanin u mind!! why should you bother!! potezea

Anabother because of usumbufu na kuharibiwa siku! Did u know sometimes mnawatia kichefuchefu wanawake pale mnapojifanya vidume kwa kukenulikenulia wadada meno!
 
na wewe why umtongoze?

Sio kuwa wakati wote tunatongozwa dada... Sio siri miaka mitano iliyopita nilikuwa natongoza hadi nachoka. Siku hizi natongozwa (kwa matendo, na maneno), had uvumilivu unashindikana...
 
Matatizo mengi yanayo tukukuta kwenye mahusiano tumeyalea wenyewe.
Hatumuombi MWENYEZI MUNGU kutupa wenza wema na wala Hatufanyi utafiti wa kutosha kabla ya kuanzisha reletion. Tunaongozwa zaidi na hisia na sio uhalisia.
 
Matatizo mengi yanayo tukukuta kwenye mahusiano tumeyalea wenyewe.<br>Hatumuombi MWENYEZI MUNGU kutupa wenza wema na wala Hatufanyi utafiti wa kutosha kabla ya kuanzisha reletion. Tunaongozwa zaidi na hisia na sio uhalisia.
 
nimetoka kwenye semina ya kusimamia mtihani mmoja wa kitaifa.. "jina kapuni".. kila mwanamke niliye jaribu ku.. "flirt" naye... alikua ready... so sijui kuna nin hapa. kosa la mwanadada au mkaka..
Hii ni indication kuwa ndoa zetu nyingi haziko settled hivyo watu wanapopata nafasi ya kuhudhuria semina ndo wanapata mda wa kutafuta walau temporary peace of mind, au inakuwa kuwa penzi la nyumbani limebaki mazoea tu kiasi kuwa nothing new ktk mapenzi. Cha kufanya kuweza kunusuru ndoa hizo na probably kujiepusha na maambukizi ya magonjwa ya zinaa(sti) ni kuelezana ukweli na kwa uwazi feeling za wanandoa.
 
Back
Top Bottom