Wanaume Mzingatie Haya

Wanaume Mzingatie Haya

Mary Chuwa

Senior Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
177
Reaction score
40
Jana nilikuwa naangalia kipindi cha The Doctors' katika Chanel ya MBC 4 kilikuwa na mada ya kuhusu Fashion inavyoweza kuathiri Afya yako.
Walizungumzia suala la mavazi,kwa wanaume
underwear/chupi: ni vazi ambalo kwa wanaume lisipoangaliwa huleta athari,kuna aina tofauti tofauti ya chupi,wanaume mnapaswa kuzingatia kuvaa chupi zisizobana Korodani kwani huwa hazihitaji joto na kubanwa,kufanya hivyo hupelekea uzalishaji mdogo wa mbegu na kupelekea tatizo la (low sperm count)
Hivyo mnashauriwa kuvaa chupi ambazo hazitasababisha tatizo hilo kama zile wanaziita boxer na aina nyinginezo mnazozifahamu
Tai: ni mojawapo ya vazi ambalo huchangia kuwaweka nadhifu wanaume lakini nalo lisipozingatiwa katika uvaaji huleta madhara,endapo utavaa tai na kukaba au kubana shingo yako utaathiri mishipa ya damu inayosafirisha damu ya kichwani kwenda kwenye moyo na unaweza kupata matatizo ya presha katika macho,hivyo ni vyema kuhakikisha unapofunga tai yako huikazi kana kwamba unataka kujiua.
Tunapenda mnavyopendeza lakini mzingatie haya kwa Afya na maisha yenu.
 
oooooohh pissssssssss!!!!!!!!!!!

nilikuwa napita tu!

wenyewe wanakuja ngoja nitoke kbl cjakutwa humu!!!
 
wazee wetu walivaa bukta, nafikiri kwa ushauri wako tutarudi huko.
 
Kwanza uvaaji wa nguo ya ndani ni mambo ya kisasa tu enzi hizo hata wazee wetu hawakua wanavaa nguo za ndani!
 
Kwanza uvaaji wa nguo ya ndani ni mambo ya kisasa tu enzi hizo hata wazee wetu hawakua wanavaa nguo za ndani!
Ni kweli Ndallo lakini ndiyo tupo kwenye usasa inabidi kuzangatia uvaaji ambao hautaleta athari kwenye miili yetu likiwemo hili la aina za nguo za ndani kwa wanaume
 
kwa hiyo hawakuwa wakivaa chupi sio?

Yea, alikuwa hawavai na pia naskia chupi inasababisha uume kuwa mdogo ndio maana wamasai ambao hawavai kitu ndani wanakuwa na uume mkubwa coz wanauachia free tuu uning'inie.
 
dah ebwana eeee, kumbe zinahitaj hewa ya kutosha, lakin itakuwa poa pia kama tukijikumbusha enzi za babu zetu
 
Back
Top Bottom