King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,976
Matola, hongera kwa kunukia. Ila hapo kwenye kufua jeans wala sikubaliani na wewe. Na uvaaji wa suit na kufua inategemea na hali ya hewa. Siwezi kukuachia uvae suti na majoto ya dsm, unaenda harusi ukumbi wa makuti. Ukivua shati lote mgongoni limelowana, afu niitundike ikauke? Kazi ya hela ni matumizi, tutakata budget ya bia tuwekeze kwenye usafi baba. Binafsi, under very rare circumstances inahalalisha kurudia nguo. Usafi wa ulipokuwa na pengine hali ya hewa rafiki.
Last edited by a moderator: