Duh... me huwa nashangazwa na wanaume waliooa kutokuwa smart... hivi kweli anawezaje kuondoka nyumbani kwake akiwa rafu??? mkewe huwa yuko wapi???[/QUOTE
Kwi kwi iiii we e hujawahi kukutana na jiana ume.. Hata likiambiwa oga halitaki, hata kama nguo ziko kibao safi anang'ang'ana na zenye majasho lol.
Yani hivi vitu ni hulka nafikiri, hivyo inakuwa tabu sana mtu kubadilika.. Hata wife inabidi aende nae mdogo mdogo lol.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wanawake wenye tabia hizi huwa wananishangaza sana. Namaanisha hizi za kuropoka.
Wewe unajiuza?
Nauliza hivi kwa kuwa sipati jibu umeshatembea na wanaume wangapi wenye masters mpaka ukathubutu kufanya generalization na kui-caption WANAUME!
hapo kwenye tips hapo naomba sana wanaume wapasome na wapazingatie....... Yaani ni kweli kuna unyunyu mwanaume akijipulizia unatamani tu apite karibu yako kila dakika loh
Bora uwaambie.... Though mi naamini hata bila unyunyu mtu anaweza kuwa msafii tu...na asiwe na harufu mbaya. Kusafi mwili vyema na kuvaa mavazi safi... Hawajui wanaboa katika mapenzi lol mtu unakuta uko ktk stimu za mapenzi ile mbayaaaa..
Kwapa likipita gafla mbona unwaweza omba game isifanyike tena kwi kwi kwiiiiiiiii
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
umofia kwenu.....
Nimekaa nalo hili toka mchana......
Kaka zetu vipi jamani? Hata kujipenda kidogo?
Unakuta mwanaume, msomi na masters yake ananuka uvundo? Ananuka kutu? Ananuka kama maharage yaliyochacha?
Hivi hamjinusi?
Au hiyo harufu mnadhani ni perfume?
Mwanaume unavaa shati moja siku tatu?
Imagine mko kwenye kikao, mwanaume kichwani zinachaji anatema pointi ila mweeee harufuuuuuu.....ptuuuuuuuu unatamani kutapika.... Mwili unatema harufu kaliii
Tena wale mliooa msiseme wake zenu hawawaandai, usafi ni hulka ya mtu, kama ni msafi hutosubiri kusafishwa na mkeo.....
Please please jamani.......
Wanaume , Mtu ni afya, jali afya yako,
koga angalau mara mbili kwa siku, nguo hata kama ni kauka nikuvae ifue iwe safi, nyoq makwapa, nyoa mnarani, paka perfume, hata deorodanti zipo za bei nafuu mfano za fa, si lazima upake expensive.....
Jipende na jijali......
Nawatakia usiku mwema....
Duh... me huwa nashangazwa na wanaume waliooa kutokuwa smart... hivi kweli anawezaje kuondoka nyumbani kwake akiwa rafu??? mkewe huwa yuko wapi???[/QUOTE
Kwi kwi iiii we e hujawahi kukutana na jiana ume.. Hata likiambiwa oga halitaki, hata kama nguo ziko kibao safi anang'ang'ana na zenye majasho lol.
Yani hivi vitu ni hulka nafikiri, hivyo inakuwa tabu sana mtu kubadilika.. Hata wife inabidi aende nae mdogo mdogo lol.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wengine ukitoka ofisini tu ukavua nguo ulizotoka nazo asubuhi unazikuta zilishatupwa laundry kwa mchakato wa usafi hakuna kurudia. Inabidi ukubali matokeo tu.
Nilikutana na dada mmoja msasani beach club nikaja naye mpaka home kumbe alikuwa hedhi na hakusema kuna harufu alikuwa anatoa kwa kipindi kile niliwasifu sana wanaume walio owa na wanakutana na mambo kama haya.