Duuuuuh mtu ana masters asijipende????? Anyway hiyo ni changamoto kwa wasiojipenda.
masters na,kujipenda nvimna uhuwiano gani??ina maana ambao hawana masters ndio wanastaili kuwa wachafu,mtoa mada acha ufinyu wa mawazo
Labda tu nikueleweshe kuhusu Jeans inawezekana huelewi kitu na Jens za wanawake na za wanaume ni tofauti Material yake.
Mfano mimi nina Jeans kama pea 5 tu kwa sababu muda mwingi navaa kama State Man, kwahiyo kwa kuwa leo ni weekend napiga casual wear Tshirt na Jeans.
Sasa kwa utumiaji wa Style is possible mimi Jeans zangu zifuliwe baada ya miezi miwili, maana Jeans si vazi la mvao mmoja na kufuwa bali Jeans inavaliwa mivao kadhaa ndio inafuliwa kama unavyoona suti. hakuna mtu mwenye jeuri ya kuvaa suti mvao mmoja tu na kupeleka Dry Cleaner. Ila swala la kunuka napinga kabisa maduka ya Cosmetics kama SH AMON yapo kwa ajili yetu ili tusinuke.
Tena namshukuru Mungu sabuni ninazotumia mimi ni medicated soap na zina harufu nzuri sana, kwahiyo hata siku nikisahau kujipulizia marashi kwa sababu ya haraka bado sabuni huwa inanukia mwilini mwangu.
Tip kwa Wanaume: Acheni ubishi wa kijinga mimi kuna Dada mmoja kila akiniona huwa ananipenda eti kisa nanukia vizuri, jitahidini kununuwa Pafyumu nzuri mtaamini haya niyasemayo, wanawake hawana tofauti na majini harufu tu peke yake ina maajabu makubwa kwa Mwanamke kuliko mnavyoweza kudhani.
hapo kwenye tips hapo naomba sana wanaume wapasome na wapazingatie....... Yaani ni kweli kuna unyunyu mwanaume akijipulizia unatamani tu apite karibu yako kila dakika loh
Are you sure? Unatusingizia tu
eti???
Hahaha mbona kuna wanawake ambao wasafi juu juu wananukia wakivua utadhani umefungua ndoo ya samaki kutoka feri
Hahaha mbona kuna wanawake ambao wasafi juu juu wananukia wakivua utadhani umefungua ndoo ya samaki kutoka feri
AHAHAHHAHAHHAHAHHAHHAAHHAHAHHAHAH yani nimecheka mpaka basi!watu mna maneno jamani lol!Aihuuuuu babu weeeee.
Mwanaume utafikiri gari la taka.
Afu ukute ananuka ule uvundo wa chini ya mapumb.u,utatamani utapike.
kijasho + kikwapa + soksi + mdomo= Kutapika tu hapo.
Afu utakuta mwengine ana mke wake,huwa najiuliza anampandaje mkewe kifuani ilhali mwili wake wote umeozaaaa?????
Jirekebisheniiiiiiii
Hasa nyie mabachela uchwara.
Nitakuwa siji ghetto kwako.
Yaani uko thawakabitha hayo madubwasha yananukaga usiombe.
umofia kwenu.....
Nimekaa nalo hili toka mchana......
Kaka zetu vipi jamani? Hata kujipenda kidogo?
Unakuta mwanaume, msomi na masters yake ananuka uvundo? Ananuka kutu? Ananuka kama maharage yaliyochacha?
Hivi hamjinusi?
Au hiyo harufu mnadhani ni perfume?
Mwanaume unavaa shati moja siku tatu?
Imagine mko kwenye kikao, mwanaume kichwani zinachaji anatema pointi ila mweeee harufuuuuuu.....ptuuuuuuuu unatamani kutapika.... Mwili unatema harufu kaliii
tena wale mliooa msiseme wake zenu hawawaandai, usafi ni hulka ya mtu, kama ni msafi hutosubiri kusafishwa na mkeo.....
Please please jamani.......
Wanaume , mtu ni afya, jali afya yako,
koga angalau mara mbili kwa siku, nguo hata kama ni kauka nikuvae ifue iwe safi, nyoq makwapa, nyoa mnarani, paka perfume, hata deorodanti zipo za bei nafuu mfano za fa, si lazima upake expensive.....
Jipende na jijali......
Nawatakia usiku mwema....
niombe radhi
si kweli ya kwamba sote tuko ivo
wengine sisi mahanfsome boys na wasafi hadi nyinyi wenyewe mnatuogopa..!!
halafu wanaohama wanaenda wapi?Ndo mana wengne wanahamwa vyumba lol...