Wanaume muwe wasafi basiiii khaaaaa

Wanaume muwe wasafi basiiii khaaaaa

Amejaribu kutoa ushauri!

Usafi ni uhai
usafi ni afya

Wanawake wenye tabia hizi huwa wananishangaza sana. Namaanisha hizi za kuropoka.

Wewe unajiuza?

Nauliza hivi kwa kuwa sipati jibu umeshatembea na wanaume wangapi wenye masters mpaka ukathubutu kufanya generalization na kui-caption WANAUME!
 
Kweli kabisa usafi ni uhai!

Ujumbe mzuri sana huu,ila mie nakubari wadada wanajari sana attention thus why wanakuwa wasafi mda wote kwa target ya attention na kula vichwa!!! Mie mda mwingi na hustle jasho mtindo mmoja sijapaka makeup zozote za kuwa mkavu unategemea nini? Wanawake mapochi yenu yamejaa kila kitu,ukitoka jasho unaingia washaroom unaoga unatoa mapoooda na makosmetik unajipaka........
 
Wanawake mkiwa humu mnawananga sana wanaume, kuna dada mpangaji mwenzangu huwa anavaa vizuri, ananukia sana marashi mbalimbali na anakazi nzuri kuna siku alikosana na binti wa mtoto wa mwenye nyumba kumbe ndani ni mchafu balaa pedi alizotumia pamoja chupi chafu amerundika ndani, bac hakuonekana wiki nzima kwa aibu.
 
Umesema kweli mke wa ujana wangu. Kweli kabisaaa!

Ila amin amin nakuambia, una heri wewe uliyekutana na mwanaume anayenuka. Ukikutana na mwanamke anayenuka afu usipate Typhoid, rudi ukatambike kabla Yesu hajarudi.

Na hili ndilo neno la mmeo ODM.

Nilikutana na mwanamke anaye nuka kufika guest zetu za uswazi kuvua kufuli tu mbu wote walizimia chumba namba 109 jinsi harufu ilivyo kuwa kali.
 
Wanawake wenye tabia hizi huwa wananishangaza sana. Namaanisha hizi za kuropoka.

Wewe unajiuza?

Nauliza hivi kwa kuwa sipati jibu umeshatembea na wanaume wangapi wenye masters mpaka ukathubutu kufanya generalization na kui-caption WANAUME!
Hajamaanisha wanaume wote wenye masters ila anamaanisha wanaume wote wachafu, na akatolea mfano mwanaume aliyekaa nae karibu kwenye kikao ana masters lakini anatoa uvundo. Kwakweli hata mimi huwa inanikera sana, huwa ninakiofisi hapa unashangaa mwanaume anaingia anatoa uvundo mpaka hali ya hewa inabadilika ndani watu mnaanza kutoa chafya aircondition haitoshi unatamani ufungue mlango hewa ya ndani itoke na iingie ya nje.

Wanaume wa hivyo mnakera sana Badilikeni.
 
Mtu yeyote yule kunuka ni kero, awe jirani, rafiki au mwenza. Hivi kwa nini mtu anarudia nguo lakini? Na si kwa wanawake wala wanaume. Jeans inavaliwa hadi basi.
 
Mtu yeyote yule kunuka ni kero, awe jirani, rafiki au mwenza. Hivi kwa nini mtu anarudia nguo lakini? Na si kwa wanawake wala wanaume. Jeans inavaliwa hadi basi.

Ukiona jeans inapigwa wiki nzima jua inapendwa hiyo
 
Ukiona jeans inapigwa wiki nzima jua inapendwa hiyo
na ukiivua tu naiweka kwa maji! Ukinunua jeans ukaona unaipenda, kesho yake nenda dukani kanunue kumi kama msukuma. Staki uvundo mie, ntaificha ndo ukome!
 
na ukiivua tu naiweka kwa maji! Ukinunua jeans ukaona unaipenda, kesho yake nenda dukani kanunue kumi kama msukuma. Staki uvundo mie, ntaificha ndo ukome!

We huna nguo au kiatu unacho kipenda? Ndo hivyo mtu inatokea kipenda roho hula nyama mbichi.
 
Nilikutana na mwanamke anaye nuka kufika guest zetu za uswazi kuvua kufuli tu mbu wote walizimia chumba namba 109 jinsi harufu ilivyo kuwa kali.

Hahahaha! Mpwa kumbe bado unagongea Baracuda gesht haush? Vitanda vinacheza sijawahi ona. Ongea na meneja wabadilishe magodoro. Pale ukimpeleka kimbaumbau kama Madame B lazima avunjike mbavu...... Khaaa!
 
Last edited by a moderator:
ni huyo ,na hiyo haituzuii kuwapa live bila chenga, badilikeni....mwanaume kuwa mchafu inahuuuu....miye sielewi hivi mwanamme anayenuka ka beberu anaanzaje kumapproach binti .....how does he start???
Wanawake mkiwa humu mnawananga sana wanaume, kuna dada mpangaji mwenzangu huwa anavaa vizuri, ananukia sana marashi mbalimbali na anakazi nzuri kuna siku alikosana na binti wa mtoto wa mwenye nyumba kumbe ndani ni mchafu balaa pedi alizotumia pamoja chupi chafu amerundika ndani, bac hakuonekana wiki nzima kwa aibu.
 
ulikutana na unayefanana naye....badilika kijana uchafu cyo ishu....inavaa nguo hadi inacopy na kupaste harufu ya mwili its too much....
Nilikutana na mwanamke anaye nuka kufika guest zetu za uswazi kuvua kufuli tu mbu wote walizimia chumba namba 109 jinsi harufu ilivyo kuwa kali.
 
Hahahaha! Mpwa kumbe bado unagongea Baracuda gesht haush? Vitanda vinacheza sijawahi ona. Ongea na meneja wabadilishe magodoro. Pale ukimpeleka kimbaumbau kama Madame B lazima avunjike mbavu...... Khaaa!

Meneja kapokea maoni mengi iti vitanda visibadilishwe kinapo piga kelele wanaume wengi mizuka ndo inawapanda balaa. Madame B nilikuwa najenga taswira kuwa utakuwa mpododo kumbe kimbau mbau.
 
Last edited by a moderator:
hapa hatuongelei mwanaume kunukia bali kuwa msafi, kwamaana ya kuoga regularly, kuvaa nguo safi, kutorudia nguo moja kwa wiki nzima..n.k
Mwanaume kunukia ni udhalilishaji wa kijinsia
 
Usafi ni Tabia ya mtu na siyo jinsia, katika mechi zangu za ugenini nimeshawahi kukutana na msichana mzuri kuliko yeyote ambaye niliwahi kukutana naye, yaani i mean kila idara alinivutia, isipokuwa akiwa necked unataka kupiga game basi ni bora hata ukae ferry kwenye uvundo wa samaki kuliko K yake.

I see bado sielewi hili swala likoje kwa Wanawake na tatizo ni nini!! ila kwa Mwanaume kunuka ni kujitakia na ni tabia mbovu, wapo wanaume ni bora ukalale kwenye zizi la mbuzi utavumilia harufu kuliko kukaa naye dakika kadhaa tu. Deodorant mpaka buku 5 unapata sijajuwa tatizo liko wapi.
 
Back
Top Bottom