Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Nani amewaambia kuna uhusiano wa kusoma na kujitambua?Haya ndo matatizo ya kuhusisha shule na kujitambua.
Mi nadhani angekua ni mtu ambae hajenda shule ana toa harufu hivyo isingekua ishu hapa,na hii inatokana na ujinga wetu wa kudhani kuwa asiesoma ni less humana,shame on us!
Kujitambua ni hatua muhimu katika maisha ya binadamu na itamsaidia kujua majukumu yake ikiwa ni pamoja na usafi wa mwili wake.
Tuache kuishi kwa mazoea!