Wanaume muwe wasafi basiiii khaaaaa

mlaumu mwanamke mwenzio na sio mmewe upo hapo bishosti...:eek:hwell:

kwa hiyo unuke kama beberu halafu useme mwanamke? Ina maana mwanaume hana akili za kuoga? Kujua makwapa masafi? Hana akili za kujua shati valiwi siku mbili mfululizo wala tshirt haivaliwi wiki nzima? Hana akili ya kujua boksa haivaliwi wiki nzima?

Hatukatai Mke yeye anasaidia ila usafi ni tabia, kama mwanaume mchafu mchafu tu, tena wanaume wengine usikute wanatumia hadi ubabe kwa wake zao ili wasilazimishwe kuoga
 
umofia kwenu.....

Nimekaa nalo hili toka mchana......

Kaka zetu vipi jamani? Hata kujipenda kidogo?
Unakuta mwanaume, msomi na masters yake ananuka uvundo? Ananuka kutu? Ananuka kama maharage yaliyochacha?

Hivi hamjinusi?
Au hiyo harufu mnadhani ni perfume?
Mwanaume unavaa shati moja siku tatu?

Imagine mko kwenye kikao, mwanaume kichwani zinachaji anatema pointi ila mweeee harufuuuuuu.....ptuuuuuuuu unatamani kutapika.... Mwili unatema harufu kaliii

Tena wale mliooa msiseme wake zenu hawawaandai, usafi ni hulka ya mtu, kama ni msafi hutosubiri kusafishwa na mkeo.....

Please please jamani.......
Wanaume , Mtu ni afya, jali afya yako,
koga angalau mara mbili kwa siku, nguo hata kama ni kauka nikuvae ifue iwe safi, nyoq makwapa, nyoa mnarani, paka perfume, hata deorodanti zipo za bei nafuu mfano za fa, si lazima upake expensive.....

Jipende na jijali......

Nawatakia usiku mwema....

Waambrrrrriiiiiiiiieeeeeeeeeeeeeeeeee...........................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Tumewachokaaaaaaaaaaaaaaaa................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Waambrrrrrrrrrriiiiiiiiiiiieeeeeeeeeeeeeeee................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Baelezeeeeeeeeeeeeeeeeeee...............Baeleweeeeeeeeeeeeeeeeeeee..............!!!!!!!!!!!!

Asente.
 
washaisomaaaaaa my dear, mambo gani haya ya kuchefuana?????? Mwanaume akipita karibu yako unatafuta panya kafia wapi???????loh
 
bora umewachana live...... kisa cha kunuka kimbuzi mbuzi nini!!!!! tena harufu za mdomo ndio uwiiiiii!!! noumer.
 
Wanawake wenye tabia hizi huwa wananishangaza sana. Namaanisha hizi za kuropoka.

Wewe unajiuza?

Nauliza hivi kwa kuwa sipati jibu umeshatembea na wanaume wangapi wenye masters mpaka ukathubutu kufanya generalization na kui-caption WANAUME!

tumia akili wewe...

Ulichoweza kuwaza ni ngono tuuuu ngono tuuuu au ndo nyie hamuogi mpaka uende kuduu??

Huwezi kufikiria wanaume na wanawake wanaweza kukutana kwenye mazingira gani zaidi ya mazingira ya kingono??????

hovyoooooooo

huwezi kufikiria maofisini watu wa jinsia tofauti wanakaa pamoja?

Hujaona hapo juu nimeongea mko kwenye kikao mtu ananuka?

Hujawaza hata madarasani kuna wanawake na wanaume?

Kwenye biashara mfano kariakoo kuna wanawake na wanaume wanaiteract?

Au na wewe unanuka kama fungo? Badilika koga, fua nguo, zipige pasi, safisha kinhwa makwapa nk.....

Anyway wewe unauza?????
 
washaisomaaaaaa my dear, mambo gani haya ya kuchefuana?????? Mwanaume akipita karibu yako unatafuta panya kafia wapi???????loh

Umesema kweli mke wa ujana wangu. Kweli kabisaaa!

Ila amin amin nakuambia, una heri wewe uliyekutana na mwanaume anayenuka. Ukikutana na mwanamke anayenuka afu usipate Typhoid, rudi ukatambike kabla Yesu hajarudi.

Na hili ndilo neno la mmeo ODM.
 
hahahahahahahah Asprin my hubby naelewa hilo, kuna baadhi ya wanawake wananuka pia, ingawa sikutaka kulizungumzia hilo...........laiti kama sheria za kazi zingelazimisha wanaume waoge loh
 
Last edited by a moderator:
washaisomaaaaaa my dear, mambo gani haya ya kuchefuana?????? Mwanaume akipita karibu yako unatafuta panya kafia wapi???????loh

Aihuuuuu babu weeeee.
Mwanaume utafikiri gari la taka.
Afu ukute ananuka ule uvundo wa chini ya mapumb.u,utatamani utapike.
kijasho + kikwapa + soksi + mdomo= Kutapika tu hapo.

Afu utakuta mwengine ana mke wake,huwa najiuliza anampandaje mkewe kifuani ilhali mwili wake wote umeozaaaa?????
Jirekebisheniiiiiiii

Hasa nyie mabachela uchwara.
Nitakuwa siji ghetto kwako.
 
Ujumbe mzuri sana huu,ila mie nakubari wadada wanajari sana attention thus why wanakuwa wasafi mda wote kwa target ya attention na kula vichwa!!! Mie mda mwingi na hustle jasho mtindo mmoja sijapaka makeup zozote za kuwa mkavu unategemea nini? Wanawake mapochi yenu yamejaa kila kitu,ukitoka jasho unaingia washaroom unaoga unatoa mapoooda na makosmetik unajipaka........
kuna wanawake wanaoga washroom?

Unajua King Kong III sikatai kuna kutoka jasho, na mtoka jasho atanuka kikwapa kama hapaki manukato yoyote, akipata manukato yanayoendana na jasho la mwili wake hatonuka kivile.....

Tatizo ni wale wanaonuka mchacho wa kwapa... Yaani kwapa limetema mpaka limechachia humo humo....... Mwenyewe akhaaaaaaaaa hata hashtuki

Last edited by a moderator:
Ujumbe mzuri sana huu,ila mie nakubari wadada wanajari sana attention thus why wanakuwa wasafi mda wote kwa target ya attention na kula vichwa!!! Mie mda mwingi na hustle jasho mtindo mmoja sijapaka makeup zozote za kuwa mkavu unategemea nini? Wanawake mapochi yenu yamejaa kila kitu,ukitoka jasho unaingia washaroom unaoga unatoa mapoooda na makosmetik unajipaka........
kuna wanawake wanaoga washroom?

Unajua King Kong III sikatai kuna kutoka jasho, na mtoka jasho atanuka kikwapa kama hapaki manukato yoyote, akipata manukato yanayoendana na jasho la mwili wake hatonuka kivile.....

Tatizo ni wale wanaonuka mchacho wa kwapa... Yaani kwapa limetema mpaka limechachia humo humo....... Mwenyewe akhaaaaaaaaa hata hashtuki

Last edited by a moderator:
hahahahahahahah Asprin my hubby naelewa hilo, kuna baadhi ya wanawake wananuka pia, ingawa sikutaka kulizungumzia hilo...........laiti kama sheria za kazi zingelazimisha wanaume waoge loh

Unaonaje kama ungelizungumzia hili kijumla ili kutunusuru na sisi wanaume dhidi ya harufu mbaya ya wanawake na wanaume wachafu?

Amin amin nakuambia, wanaume wanaocheat (siyo mimi lakini) hukutana na miarufu ya ajabu sana ya wanawake
 
Last edited by a moderator:
kweli usafi ni hulka, lakini mtu anashindwa kuona/kujua kuwa nguo inanuka? Au ananuka? Anashindwa kufikiri wanaomzunguka watamchukuliaje msomi kama yeye kunuka uvundo? Kweli usafi ni wito

Mwingine mazingira aliyokulia yanachangua,au watu wanaomzunguka nikimaanisha hata huyo gf wake au mkewe ni mchafu...unategemea mwanaume atanukia waridi...lazima atatoa harufu mbaya. Wale waliomzungumka hawa-complain kuhusu harufu yake ya mwili,wewe uki-complain hakuelewi.. ila kuna wanaume wana harufu mbaya sana ya mwili.
 
Mzee wa Rula ,inabidi wabadilike, kuvunda haipendezi aisee.....

Kuna mtu kaongea vizuri sana, badala ya kushambuliana kijinsia na kukuza malumbano, mtu yoyote hatakiwi kunuka ila kunukia ruksa.

Stage ya kutokunuka ina maana kuna ka usafi fulani kamezingatiwa na hilo ndilo la msingi.
 
Last edited by a moderator:
bora umewachana live...... kisa cha kunuka kimbuzi mbuzi nini!!!!! tena harufu za mdomo ndio uwiiiiii!!! noumer.

Sasa nawe...... khaa!

Mtu kapiga mikonyagi yake mpaka sita usiku unataka apige mswaki kwa protex?

Nyagi hata upige pafyumu mdomoni harufu haitoki labda mpaka atoe single mbiliza bongo fleva asubuhi wakati akipiga mswaki kwa magadi!
 
LEO WANAUME TUNAWAPA BEG PARTY.
Tumewachoka na miuvundo yenuuuuuu.
Unavaa shati siku 5, Huijui perfum wewe, huijui deodorant wewe, Huijui body sprash wewe,
Upo upo tuu kama fundi saa aliyepoteza nati.

Afu na miuvundo yako unakuja kunitongoza.....weeeeeeeeeee........!!!!!!!!!!!
Tokomea hukoooooooooo.............,
Mwanaume utafikiri usiku ulilala kwenye banda la Mbuzi.

Unafika ofisini asubuhi unajiuliza, kwani humu ndani ya ofisi leo, Mzee Juma alikodisha ofisi kuja kulaza mbuzi wake usiku?????,
Kumbe walaaa ni lijanaume limekaa pembeni yako lanuka Kibeberu beberu.
Loooohhh..... maskini Mwatilishaaaa.
 
Unaonaje kama ungelizungumzia hili kijumla ili kutunusuru na sisi wanaume dhidi ya harufu mbaya ya wanawake na wanaume wachafu?

Amin amin nakuambia, wanaume wanaocheat (siyo mimi lakini) hukutana na miarufu ya ajabu sana ya wanawake

Asprin hubby najua wewe hauchit.......
Sikutaka kuunganisha mada na usafi wa wadada maana wanaume wengi husingizia wake zao......wanasahau wao wakiwa wasafi automatikale mke atakufanya uwe msafi zaidi ( kumbuka sijakataa mchango wa mke ktk kumsopusopu mumewe)
 
Last edited by a moderator:
Aihuuuuu babu weeeee.
Mwanaume utafikiri gari la taka.
Afu ukute ananuka ule uvundo wa chini ya mapumb.u,utatamani utapike.
kijasho + kikwapa + soksi + mdomo= Kutapika tu hapo.

Afu utakuta mwengine ana mke wake,huwa najiuliza anampandaje mkewe kifuani ilhali mwili wake wote umeozaaaa?????
Jirekebisheniiiiiiii

Hasa nyie mabachela uchwara.
Nitakuwa siji ghetto kwako.

Na wewe unafanya nini kwenye mapumbuu ya wanaume? Ukipata kipindupindu usinitafute!
 
Back
Top Bottom