Wanaume muwe wasafi basiiii khaaaaa

Wanawake wenye tabia hizi huwa wananishangaza sana. Namaanisha hizi za kuropoka.

Wewe unajiuza?

Nauliza hivi kwa kuwa sipati jibu umeshatembea na wanaume wangapi wenye masters mpaka ukathubutu kufanya generalization na kui-caption WANAUME!
 
Ujumbe mzuri sana huu,ila mie nakubari wadada wanajari sana attention thus why wanakuwa wasafi mda wote kwa target ya attention na kula vichwa!!! Mie mda mwingi na hustle jasho mtindo mmoja sijapaka makeup zozote za kuwa mkavu unategemea nini? Wanawake mapochi yenu yamejaa kila kitu,ukitoka jasho unaingia washaroom unaoga unatoa mapoooda na makosmetik unajipaka........
 
badili tabia umenifurahisha sana!!!!!mtu ananuka kutu??????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!teh teh teh!ningekuwa ninanuka ningekufuata nikukumbatie kilazima kama dk 15 hivi!
 
Duh... me huwa nashangazwa na wanaume waliooa kutokuwa smart... hivi kweli anawezaje kuondoka nyumbani kwake akiwa rafu??? mkewe huwa yuko wapi???

Wanawake wengine mavaluvalu tu, hata kumtengeneza ukosi wa shati mumewe hana muda, soksi za mumewe zinanuka kama panya aliyeoza, mke hajali lol!!
 
Usafi ni hulka ya mtu tu,havina uhusiano na elimu wala status. Mwingine ndivyo alivyo...kurudia soksi ndo jadi yake,na wala hakerekwi na harufu ya miguu au uvundo wa boksa yake aliyovaa kuanzia Jumatatu mpk Ijumaa. Hana shida!

kweli usafi ni hulka, lakini mtu anashindwa kuona/kujua kuwa nguo inanuka? Au ananuka? Anashindwa kufikiri wanaomzunguka watamchukuliaje msomi kama yeye kunuka uvundo? Kweli usafi ni wito
 
Duh... me huwa nashangazwa na wanaume waliooa kutokuwa smart... hivi kweli anawezaje kuondoka nyumbani kwake akiwa rafu??? mkewe huwa yuko wapi???

@charminglady my dear usafi huanzia kwanza ndani ya mtu......

Mwenyewe awe msafi na mkewe ashike tela......

Juzi kuna mdada alitupia post mumewe mchafu kitanda kama beach, sasa wanaume wa dizaini hii mke atasemaaa weeeeeee mpaka, inakuwa sawa na kutwanga maji kwenye kinu.....

Maana hata ukiamua mkaoge, si mpaka akubali? La anaweza kutumia ubabe wa kiume kukataa, akapiga shati lake la juzi huyoooo job.....loh
 
Hahaha mbona kuna wanawake ambao wasafi juu juu wananukia wakivua utadhani umefungua ndoo ya samaki kutoka feri

wananuka nini K?

Hao tutawaongelea siku yao.....leo ni wanaume.......

Halafu bora hao mpaka wavue(ulikuwa watafuta nini mkuu mpaka ukasubiria avueee????????) kuliko wale akipita tu anaacha harufu nusu saa
 
Kweli aseee kuna wanaume akipita karibu hiyo harufu balaa, badilikeni bana...........mnakeraaaa

umeona eeh Ciello, inaudhiiii inaudhiii imagine mpo mkutanoni, umekaa nae jirani , unaweza zimia iatiiati ya kikao
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom