Wanaume mtumie akili sasa, tunazingua

Wanaume mtumie akili sasa, tunazingua

Wewe si special kuliko wote
Okey sawa
Sijasema kuwa mm ni special kuliko wote. Usigeneralize kuwa maisha ya Hakimi ndio maisha ya binadamu wote hapa duniani aise kila mtu ana fate yake aise....usiishi kwasababu fulani aliishi hivi au kilimkuta kile.

Maisha ya single parent naona yamekuathiri sana kijana. Ndio maana watu wapinga ndoa na single mothers. Madhara yake moja wapo ndo kama hayo.
 
Nina maswali 2 bro........

1. Wewe unachukia sana ndoa na unaita ni scam ya kuwafanya maskini, wewe kwa kuwa hujaoa una utajiri kiasi gani?

2. Umepinga ndoa na umepinga kununua madada poa, sasa unataka wamaume wasifanye mapenzi??
 
Mimi nikionaga mtu hasa mwanaume anaenda kununua madada powa iwe wale wa 5K au wale wakujikuta matawi zaidi ya 100K naumia sana

SIKU UTAKAYOPATA AKILI NDO UTAGUNDUA KUA UKITOA Ngono HAKUNA JAMBO LENGINE MWANAMKE ANAWEZA KU OFFER KWENYE MAHUSIANO YOYOTE NA NDO MAANA NAPINGA NDOA

Hiyo hela si ukawasaidie hata yatima basi au kuna watu wanapambana na jua kali wanachoma vitumbua , mahindi na kuuza ndizi hata hao kama hela huna kazi nazo.wasapot tu

najua sio kazi yangu ila value pesa yako

Jaribu kua na akili za kiume Bro upwiru usikufanye ushindwe kujitambua value pesa ya jasho lako u

Hutimiz malengo yako kwa sababu ya kuendekeza tamaa za ngono

Niwakumbushe pia Ndoa ni scam. Fanya makosa yote ila usioe wala usijaribu kuoa
Ndoa ndo chanzo cha umaskini na kuanguka kwako

NB: wanasema hawatak Mwanaume asie na hela sasa na wewe nini kinakufanya upende mwanamke asiye na hela ilibidi na wewe kigezo chako kiwe hela sio matako kama hana hela Usidet nae Bro

Wenye akili wamenielewa ila wanaoskilizia kwenye Kishundu hawatanielewa ila USINUNUE MALAYA WALA USIHONGE MWANAMKE YOYOTE YULE

Nina hasira sana na wajinga mnaonyenyekea Ngono

Mjue pia hakuna bilionea mdangaji na utajiri ni mindset so usishangae hata siku moja kumuona maskin mwenye pesa ndo kama hivyo hela yake anatumia kuhonga n.k
DMC
Ngono ni uraibu kama uraibu mwingine. Unachoeleza hakuna tofauti na mtu kupeleka pesa yake kwenye pombe. Uraibu uko kwa wanaume kama ilivyo kwa wanawake. Ndoa ndio angalau inawapa fursa ya kuendelea na uraibu wenu kwa kuridhiana nyie wawili, na kuishi pamoja. Kama hamjaridhiana, ndio utakuwa na mtazamo wa kuona mwanaume anatumika vibaya kwa kugharamia huo uraibu.
 
Saizi nina 36

Sina na sihitaji mke wala mtoto kwanza nikiona mnavyochapiwa wake zenu

Cha muhimu nina BMW x2 yang no worry
Na ni Bora huna mke Wala watoto ungewatoa hata kafara ww maana inaonekana unathamini Mali kuliko utu
 
Ushauri mzuri, ila kuhusu kupinga ndoa hapo umevurugika mwenyewe
 
Back
Top Bottom