Wanaume mtumie akili sasa, tunazingua

Wanaume mtumie akili sasa, tunazingua

Mimi nikionaga mtu hasa mwanaume anaenda kununua madada powa iwe wale wa 5K au wale wakujikuta matawi zaidi ya 100K naumia sana

SIKU UTAKAYOPATA AKILI NDO UTAGUNDUA KUA UKITOA Ngono HAKUNA JAMBO LENGINE MWANAMKE ANAWEZA KU OFFER KWENYE MAHUSIANO YOYOTE NA NDO MAANA NAPINGA NDOA

Hiyo hela si ukawasaidie hata yatima basi au kuna watu wanapambana na jua kali wanachoma vitumbua , mahindi na kuuza ndizi hata hao kama hela huna kazi nazo.wasapot tu

najua sio kazi yangu ila value pesa yako

Jaribu kua na akili za kiume Bro upwiru usikufanye ushindwe kujitambua value pesa ya jasho lako u

Hutimiz malengo yako kwa sababu ya kuendekeza tamaa za ngono

Niwakumbushe pia Ndoa ni scam. Fanya makosa yote ila usioe wala usijaribu kuoa
Ndoa ndo chanzo cha umaskini na kuanguka kwako

NB: wanasema hawatak Mwanaume asie na hela sasa na wewe nini kinakufanya upende mwanamke asiye na hela ilibidi na wewe kigezo chako kiwe hela sio matako kama hana hela Usidet nae Bro

Wenye akili wamenielewa ila wanaoskilizia kwenye Kishundu hawatanielewa ila USINUNUE MALAYA WALA USIHONGE MWANAMKE YOYOTE YULE

Nina hasira sana na wajinga mnaonyenyekea Ngono

Mjue pia hakuna bilionea mdangaji na utajiri ni mindset so usishangae hata siku moja kumuona maskin mwenye pesa ndo kama hivyo hela yake anatumia kuhonga n.k
DMC
Tumeanza kupangiana matumizi ya pesa
 
Kwanza wewe ni dhaifu kwa sababu ushamtukana mtu anayekupinga hoja yako. Muhimu toa hoja subiri watu wakupinge kwa hoja mwenyewe

Turudi kwenye hoja yako.
Umeshauri tusioe na tusinunue malaya NAKUBALI SAWA. Lakini hujashauri tufanye nini kupambana na upwiru kwa sababu umesema tusihonge ina maana hata dating hamna hapo. Ndugu wewe ni mpiga nyeto?
Focus naaisha uone upwiru utatokea wapi
 
Umeongea kitu cha maana sana lakini ndani yake umekuja kuharibu ulipoanza kuibeza ndoa.

Siijui family background yako ipoje yan umetokea kwenye familia ya wazazi wawili ambao ni mke na mume au familia ya mzazi mmoja (single mother/father).

Kama umetokea kwenye familia ya ndoa basi ukikaa chini ukajitafakari kwa kina utagundua kuwa mazuri/faida ya ndoa ni mengi kuliko mabaya/hasara.

Kama umetokea kwenye familia ya mzazi mmoja basi ni wazi siyo kosa lako sana kuibeza ndoa kwan hukuwahi kuexperience maisha ya familia yenye ndoa(baba na mama kama mume na mke) hivyo huenda hali hiyo imekuathiri.

Tuliotoka na tunaoishi kwenye familia za ndoa kamwe hatuwezi kuibeza ndoa kwakua ni wazi tunaziona faida zake ni nyingi sana kuliko hasara/mabaya.

Vijana tujitafakari na tujitambue tuache kufata mkumbo bila kutumia akili na pia tukumbuke kuwa hapa duniani kila mtu ana maisha yake hivyo kila mtu aishi maisha yake kama inavyompendeza na sio kulazimisha wote tuishi maisha ya mtu fulani.
Ashraf Hakimi
 
Ko hutazaa mkuu?, Kwani maisha ni kuwa na pesa tu? Vipi kuhusu familia? Na uhakika wewe ni under 28 years
Saizi nina 36

Sina na sihitaji mke wala mtoto kwanza nikiona mnavyochapiwa wake zenu

Cha muhimu nina BMW x2 yang no worry
 
Sasa kama wanaume nanyi mtaanza kutafuta wanawake wenye hela kwa sababu wanawake wanatafuta wanaume wenye hela, maana yake na wanawake nao itabidi waanze kutafuta wanaume wanaojua kufanya kazi za nyumbani kwa sababu hata wanaume mnatafuta wanawake wa aina hiyo, kama mnataka haya mambo yaanze kuenda tit for tat semeni kabisa ili tujue tunaingia kwenye mfumo wa 50 50 mazima na mjue hakuna mtu kumtawala mwenzie maana majukumu yenu yamewashinda
HAKIKISHA UNA DATE NA MTU AMABAYE HAJAKUZIDI SHIDA
 
Maskini wengi ndo huwa na hulks ya kuhonga,matajiri anamwita mwanamke sehemu atakayokua amepumzika anamla mwanamke, anampa hela ya kawaida,mwanamke anapigapiga picha anatupia kwenye social networks... basi.
 
Back
Top Bottom