Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,617
- 2,745
Tukioa unaumia, tukipiga ma dada poa unaumia..
Kwahyo unataka tuishije kama ma hanisi si ndio?
Kwahyo unataka tuishije kama ma hanisi si ndio?
Mikosi tu kakaWewe unawaza pesa unayopoteza? Hizo mbegu zako je? Unajua unachojichumia?
Usitake kila mtu ajue unauwezo mdogo wa kufikiria Bro 📌Ety nisihonge 🥶nibaki na upwiru
Unadinywa nini wewe!
Wewe tu ukitaka kuishi hata kama ms*g*ji au sh*ga wewe tu kaka ila ndoa ni utapeliTukioa unaumia, tukipiga ma dada poa unaumia..
Kwahyo unataka tuishije kama ma hanisi si ndio?
Kiukweli madada poa nilinunua sana tabia chafu hii nilianzia pale kimboka Buguruni nikaendelea nayo mpaka mafiati mbeya sijisifu ila najuta kununua malayaMimi nikionaga mtu hasa mwanaume anaenda kununua madada powa iwe wale wa 5K au wale wakujikuta matawi zaidi ya 100K naumia sana
SIKU UTAKAYOPATA AKILI NDO UTAGUNDUA KUA UKITOA Ngono HAKUNA JAMBO LENGINE MWANAMKE ANAWEZA KU OFFER KWENYE MAHUSIANO YOYOTE NA NDO MAANA NAPINGA NDOA
Hiyo hela si ukawasaidie hata yatima basi au kuna watu wanapambana na jua kali wanachoma vitumbua , mahindi na kuuza ndizi hata hao kama hela huna kazi nazo.wasapot tu
najua sio kazi yangu ila value pesa yako
Jaribu kua na akili za kiume Bro upwiru usikufanye ushindwe kujitambua value pesa ya jasho lako u
Hutimiz malengo yako kwa sababu ya kuendekeza tamaa za ngono
Niwakumbushe pia Ndoa ni scam. Fanya makosa yote ila usioe wala usijaribu kuoa
Ndoa ndo chanzo cha umaskini na kuanguka kwako
NB: wanasema hawatak Mwanaume asie na hela sasa na wewe nini kinakufanya upende mwanamke asiye na hela ilibidi na wewe kigezo chako kiwe hela sio matako kama hana hela Usidet nae Bro
Wenye akili wamenielewa ila wanaoskilizia kwenye Kishundu hawatanielewa ila USINUNUE MALAYA WALA USIHONGE MWANAMKE YOYOTE YULE
Nina hasira sana na wajinga mnaonyenyekea Ngono
Mjue pia hakuna bilionea mdangaji na utajiri ni mindset so usishangae hata siku moja kumuona maskin mwenye pesa ndo kama hivyo hela yake anatumia kuhonga n.k
DMC
Hivyo unaweza kuishi wewe kwahyo komaa, acha sisi tukomae na TotozWewe tu ukitaka kuishi hata kama ms*g*ji au sh*ga wewe tu kaka ila ndoa ni utapeli
Muanzilishi wa taasisi ya ndoa ni Mungu. Ila huu mkataba wa cheti cha ndoa na sheria za kipuuzi zimeletwa na kuzimu ili kutuia wanaume na tuzidi kuishi maisha ya kuteseka. Mwanaume spiritually amebeba vitu vingi haswa vizito kiasi hata shetani hakujaribu kwenda kwa mwanaume.
Kwahiyo wewe kwa hii mada ndo umejiona una IQ kubwa sana🥶Usitake kila mtu ajue unauwezo mdogo wa kufikiria Bro 📌
Ww tukuweke kundi Gani boss, unanipa mashakaWewe tu ukitaka kuishi hata kama ms*g*ji au sh*ga wewe tu kaka ila ndoa ni utapeli
Utakuwa shoga weweMikosi tu kaka
Nin kilichokukuta boss, wape somo vijana watajifunza kituKiukweli madada poa nilinunua sana tabia chafu hii nilianzia pale kimboka Buguruni nikaendelea nayo mpaka mafiati mbeya sijisifu ila najuta kununua malaya
Anataka mchague kufa na upwiru....Tukiachana na mbususu, upwiru wetu wewe utaweza kuuondoa?
Tumia pesa kula mbususu za hawa kenge bro ndio burudani pwendahayo mawazo yanakujaga kwangu baada ya kumaliza pesa..
Kazi ipo.