Wanaume mtuheshimu wanawake

Wanaume mtuheshimu wanawake

Kukaa tumboni miezi tisa ni nature, ingewezekana ikawa mwezi mmoja au ikawa kama ilivyokuwa kwa history ya Adam and hawa, usijisifu kwa nature jisifu kwa matendo uyatendayo yakaleta manufaa
 
Santeee...
Unadhani hawajui? Ni basi tu wameumbiwa kujiona wao ni bora zaidi, na kumuona mwanamke aliletwa ki makosa kwenye ulimwengu huu.
 
Nyie mnajiheshimu mpaka mpate hiyo heshima kutoka kwetu sisi?

Kubeba mimba miezi 9 siyo sababu tu ya kufanya uheshimiwe.

Kuna vitu vingi tu vya kukufanya upate heshima mbali na hiyo ya kuteseka miezi 9.
Kukuzaa peke ni Zawadi tosha kwako kwako ningekubana usingetoka

Mama ni mama!
 
Mmekuwa mkituponda huku kila siku hamjui sie tumewaweka tumboni miezi 9 na wakagi wa kujifungua hatukubana miguu mkafa ,muwe na adabu bana .heshima kwetu wote wanawake
View attachment 400171
ujumbe wenu huu hapa
Imeaandikwa ktk bibilia,. Mwanamke atajifungua kwa uchungu. Na mwanaume atakula kwa jasho.Hivyo tueshimiane sote. kwani hiyo mimba mnayoipata na kukaa nayo na kujifungua mnajipa wenyewe?
 
Ni heshima gani inahitajika, ki ukweli mwanamke aaliumbwa kutoka kwa mwanaume ni chombo cha kumsaidia mwanaume katika mambo yote. Katika kuzaa ni wajivu wa uumbaji kubeba mimba ni mali ya baba wajibu wa baba ni kukutunza na kukupenda shamba unalolima lazima ulipende na kulishughulikia muda wote. Wanawake mnapendwa mno lkn nyie hamjiheshimu mali yangu shamba langu wapeleka kulimwa na mwingine heshima inaishia hapo. Dharau kwa mwenye mali (shamba) kutaka kujilima wenyewe, nk. Ndy yana vunja hali ya mapemzi kutoka kwa wamiliki, ni haki kuwa na mashamba mengi. Kazi ya Mungu hiyo msijidharau timizeni wajibu wenu
 
Mie sina wasiwasi najua naheshimika saana tuuu, na sio mimi tu naamini kila mwanamke anayejiheshimu anaheshimiwa sana, tatizo linakuja kwa wale walioruka stage hao ndo wanafanya wanawake waonekane wa hovyo kwa samaki mmoja akioza, siku hizi samaki akioza tunamuondoa jamani.
 
Kinachoongelewa kipo, wenye jinsia ya kike siku izi tumeweuka sanaa, tena mbaya zaidi uweukaji wetu ni almost katika kila idara. . . [emoji117]tunaishi sana ki-movie movie
Wanawake siku izi plan B zimekua nyingi, iyo miezi 9 yenyewe siku izi wengi wetu hatuifikishi so kusemwa lazima

Ila still tuna kama 2% zimebaki ya mazuri tunayofanya katikA ii dunia
 
Unadhani mimba inapatikana kiurahisi wewe,watu wanahangaika hata kupata mimba tu,sasa hivi uzazi wa shida mno,mwanamke akiolewa asipobeba mimba ni shiida mpaka anaweza kuachika kisa mimba ,heshim mimba
Basi mimba isisababishe tufanye upumbavu mbele ya hawa tunaowabeba kwene matumbo afu tukategemea kuheshimiwa bana mimba sio kigezo cha kuheshimika kama ujajieshimu wewe kwanza
 
Kinachoongelewa kipo, wenye jinsia ya kike siku izi tumeweuka sanaa, tena mbaya zaidi uweukaji wetu ni almost katika kila idara. . . [emoji117]tunaishi sana ki-movie movie
Wanawake siku izi plan B zimekua nyingi, iyo miezi 9 yenyewe siku izi wengi wetu hatuifikishi so kusemwa lazima

Ila still tuna kama 2% zimebaki ya mazuri tunayofanya katikA ii dunia
Hakika. Majukumu ni yetu sote. LAKINI kama mwanamke akisimama kwenye nafasi yake na mwanaume akisimama kwenye nafasi yake hakuna atakaye Mlaumu mwingine.
 
Ebu ngoja niwe msomaji hapa, pengine nikajifunza kitu....[emoji101]
 
Ebu ngoja niwe msomaji hapa, pengine nikajifunza kitu....[emoji101]
Mkuu wapo wanawake wanafikiri kilakitu kinatoka kwa mwanaume ni shida sana hao. Wanafikiri kila kitu wapewe. Sio kweli hao hata ukiwafungulia biashara itakufa kwa sababu hawafikirii kwamba hiyo biashara inatakiwa kukuwa ndipo mambo mengine yafuate.
 
Mmekuwa mkituponda huku kila siku hamjui sie tumewaweka tumboni miezi 9 na wakagi wa kujifungua hatukubana miguu mkafa ,muwe na adabu bana .heshima kwetu wote wanawake
View attachment 400171
ujumbe wenu huu hapa
Jambo nalo amini ni kuwa mwanamke humpenda kwa dhati na upendo wa kweli na wa huruma mwanae aliye mzaa tofauti na mwanaume. Na dhana hii ni la asili viumbe wote wa kike hupenda watoto wao.
 
Ndo hivyo Dina...ukitaka uheshimiwe basi nawe jiheshimu.

Fanya mambo yatayokujengea na kukuongezea heshima.

Ukifanya kinyume na hapo sahau.

Haya twende tukaogelee...
Haya lakin nyie mnapenda kunyenyekewa mno
.nakusubiria twende leo kule sipataki nataka pengine
 
Back
Top Bottom