Wanaume mtuheshimu wanawake

Wanaume mtuheshimu wanawake

Kubeba mimba tu haitoshi uheshimike bana maana ikiwa ivo asokuwa na uwezo huo asingeheshimika? Jiheshimu ujipe credit mwenyewe za kuheshimika!!!!!!! Sio kwamba mimba ndo iwe kigezo
Unadhani mimba inapatikana kiurahisi wewe,watu wanahangaika hata kupata mimba tu,sasa hivi uzazi wa shida mno,mwanamke akiolewa asipobeba mimba ni shiida mpaka anaweza kuachika kisa mimba ,heshim mimba
 
Asalam aleikum Ngabu

Aleykum salaam bibie.

Mbona tunajiheshimu sana tu,kwahiyo hamtuheshimu kisa umbea?

Siyo hamuheshimiwi kisa umbea. Huo ulikuwa ni mfano wa matendo yanayowapunguzia heshima. Unaelewa maana ya mfano?

mbona kuna wanaume wanapenda umbea wanatuzidi hadi sisi wanawake hao unawazungumziaje,wanaume kutamani wanaune wenzao hao unawazungumziaje ?

Nao ni walewale tu. Jinsia yao haibadilishi chochote. Ukitaka uheshimiwe basi jiheshimu. Hiyo ni kanuni ya maisha bila kujali jinsia, kimo, rangi, nasaba, kipato, na kadhalika.

Tuhesshimuni bana kwa hali ya juu tena,,hebu patia picha kusingekuwepo totoz mngeishije?[emoji23][emoji23][emoji23]

Jiheshimuni na mtaheshimiwa tu.
 
Aleykum salaam bibie.



Siyo hamuheshimiwi kisa umbea. Huo ulikuwa ni mfano wa matendo yanayowapunguzia heshima. Unaelewa maana ya mfano?



Nao ni walewale tu. Jinsia yao haibadilishi chochote. Ukitaka uheshimiwe basi jiheshimu. Hiyo ni kanuni ya maisha bila kujali jinsia, kimo, rangi, nasaba, kipato, na kadhalika.



Jiheshimuni na mtaheshimiwa tu.
Haya bana tumekusikia na kukupata
 
Mkijiheshimu mtaheshimiwa.

Sasa kutwa kucha mnashabikia mambo ya kipumbavu kama umbea halafu mnaanza kujivunia na kushindana eti nani mmbea kuliko mwenzake au nani anajua kuchamba kumshinda mwenzake, nani atawaheshimu?

Wenyewe kwa wenyewe hamuheshimiani halafu mnategemea wengine wawaheshimu?

Acheni masikhara bana!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
I do respect wanawake n naamin asilimia 99 ya wanaume wote wanawaheshimu sana wanawake...
Ila nyinyi wanawake mnaharibiwa sifa na viumbe fulani hiv vimefanana na wanawake kila kitu, wana maziwa, pauchi etc, ila hawana zile sifa za msingi za kuitwa wanawake.. HAWAJIHESHIMU,HAWAJITHAMINI,HAWAJIELEW, HAWAIJUI NINI THAMAN YA MWANAMKE.. Na katika ulimwengu huu ni wanawake ni wachache sana, wengi wao ni hvyo viumbe hapo, mpaka leo sijajua hata nivipe jina gani

Ila kiukweli wa dhati kabisa toka moyoni, i do respect women. Ni viumbe wa ajabu na wenye thaman kubwa kwangu..

Salute kwa wanawake wote ulimwengu mzima..

You just keap ya head up..
 
Haya bana tumekusikia na kukupata

Ndo hivyo Dina...ukitaka uheshimiwe basi nawe jiheshimu.

Fanya mambo yatayokujengea na kukuongezea heshima.

Ukifanya kinyume na hapo sahau.

Haya twende tukaogelee...
 
Tatizo wanaume wanajiona wao wamekamilika kwa kila kitu ndo maana kutwaaa kuwasema wanawake hata kwa vitu ambvyo havina kichwa wala miguu. Hata nyie wanaume mna matatizo kibao sema sisi tunawavumilia tu na wala hatulalamiki coz tumeumbwa ivyo. Wanaume mnalalamika mno hadi mnatia hasira kwakweli jirekebisheni.
 
Acheni hizo mnavyotuumizaga huwa hamuoni??

Semeni tuwaheshimu mama zetu.....
 
Mkijiheshimu mtaheshimiwa.

Sasa kutwa kucha mnashabikia mambo ya kipumbavu kama umbea halafu mnaanza kujivunia na kushindana eti nani mmbea kuliko mwenzake au nani anajua kuchamba kumshinda mwenzake, nani atawaheshimu?

Wenyewe kwa wenyewe hamuheshimiani halafu mnategemea wengine wawaheshimu?

Acheni masikhara bana!
Ngoja nianze kukuchamba
 
Mlipata taabu juu yetu,ila mlifaidi utamu Siku ileee,hapo hampagusii,kimyaaaaa
 
Back
Top Bottom