Wanaume mtuheshimu wanawake

Wanaume mtuheshimu wanawake

Mkijiheshimu mtaheshimiwa.

Sasa kutwa kucha mnashabikia mambo ya kipumbavu kama umbea halafu mnaanza kujivunia na kushindana eti nani mmbea kuliko mwenzake au nani anajua kuchamba kumshinda mwenzake, nani atawaheshimu?

Wenyewe kwa wenyewe hamuheshimiani halafu mnategemea wengine wawaheshimu?

Acheni masikhara bana!
Cha kusikitisha unakuta kuna wanawake eti mentor na role model wao ni mwanamke bogus kama Joyce Kiria, yet nao wanadhani wataheshimiwa kweli?
 
Wanawake wasiojiheshimu ndo hawaheshimiwi bwana! Mwanaume hasiemuheshimu mwanamke anayejiheshimu inabidi achunguzwe akili.... Kuna kitu anatumia na si kingine au amelogwa
 
Mimi nawaheshimu sana, ila kuna mambo mengine wanayofanya baadhi ya wanawake wanatia kinyaa.
Thamani yenu inapungua kila siku kwasababu ya kuendekeza mambo ya ajabu ajabu. Tujitahidi kuvumiliana na kutenda yaliyomema , I mean sisi male and famale, dunia utakuwa sehemu salama sana kuishi.
 
Mmekuwa mkituponda huku kila siku hamjui sie tumewaweka tumboni miezi 9 na wakagi wa kujifungua hatukubana miguu mkafa ,muwe na adabu bana .heshima kwetu wote wanawake
View attachment 400171
ujumbe wenu huu hapa
Taja sababu 10 zinazofanya msiheshimiwe na pia yaja sababu 10 zinazofanya mheshimiwe, maana sidhani kama mtu unajiheshimu utaacha kuheshimiwa. Kaka wewe mwenyewe hujiheshimu na kuwaheshimu wenzako sahau kuheshimiwa.
 
Back
Top Bottom