Hawaijui hii point hawa mpaka wakishapigwa mimba anakuja kugundua jamaa ana mke na watoto 8 na picha anamwonyesha kisha anamwambia hio mimba nenda katoeHawa waliojipata hawawez kumsahau ma Ex aliyewavumilia wakat hawajajipata
usiongee kama ni kitu ambacho hakitokei kwenye jamii kila siku watu wanatarakiana mwanaume kapata pesa anasahau mkewe anatafuta wa nnjeUnaolewa na potential ya mtu, unaangalia baada ya miaka flan huyu ninavyomwona atakuwa wapi? Hawa waliojipata hawawez kumsahau ma Ex aliyewavumilia wakat hawajajipata
Mmh nimekula 20k tu akitaka nitamlipaIla c tayari ushakula pesa zake vya kutosha?
Kusikia kwa kenge hadi atoke damu masikioni😃😃Ananiambiaga aliumizwa sana na mapenzi sasa sijui hajakoma
Ni kweli kipengele anacho singlefaza broken bora asingekuwa singlefaza akawa brokenNdoa ni majaliwa, maisha ni Mipango lakini unapopanga Mungu naye anapanga yake...
Punguza ukali wa maneno usije sema haukuonywa.
Huyo unayemnyanyapaa pengine Yuko genuine kuliko huyo unayemuona ni age mate wako. Huyo age mate wako naye ana mtu anaye muona anamfaa zaidi yako.
Be careful
😕😕😕😕Leo umetumia akili kidogo mrembo wanguJibu unalo kwenye uzi wako
Kila mtu apambanie anapopaweza,huyo umemshindwa tafuta mliyezidiana miaka miwili muanze from 0 na asiye na mtoto
Sijui kama unajua lakini suala la mafanikio haliangalii umri,unaweza kuwa mtafutaji na usipate hata uwe na miaka 40
Kwa upande wako
Yupo mtu anakushangaa una miaka 27 hujaolewa
Yupo mtu anakushangaa una miaka 27 lakini bado una akili za kitoto za kutarajia kupata mwenza mwenye uwezo kipesa(atakayebeba shida zako)
Je wewe hali yako ya kiuchumi ikoje. Sio na wewe ni naomba hela ya vocha halafu unaona wengine unawaona hawana kitu wakati wewe hauna chochote.Mwamba kabakiza ngapi afike 40??
Angekuwa mwanao au dada ako ungemshauri aende kwa kijana wa hivyo especially mtu ni single faza
Kama ninyi mnavyokataa single maza na sisi tunakataa single faza broken
Kwaiyo hiyo miaka mimi nitakuwa nimekaa tu sitafutii.. uzuri Mungu si AthumaniAkili za kitoto raha sana, anataka mwanaume mwenye pesa hali yakua yéyé hana pesa,
Subiri baadae ya miaka 5 utashangzwa na maendeleo ya huyo jamaa unamkataa,
No reforms no election
Tuweni wakweli tu ndugu zangu
Hii unalichukuliaje kwangu mimi imenishinda
Unakutana na mwanaume anakwambia akuoe ukimuangalia bado uchumi umemchumu yaani kiufupi maisha yamempiga na ana miaka 34 hana kazi ya kueleweka yaani hata geto ana miliki godoro na nguo zake tu. Ubaya zaidi tayari ana mtoto, hebu waza hapo miaka tunapishana 7
Jamani msione kama tunataka wa mafanikio sana.. kwa umri wangu kuolewa na single father ambae ni broken bora nitafute kijana mwenzangu tuliepishana miaka 2-3 tukaanza maisha wote. Kuliko kujitumbukiza huko kwa single father broken mwenye stress zote
Kama ni ndugu yako wa kike au mwanao ungemshauri vipi??
Kwa umri wangu niko standard ninazo za kunitosha mimiJe wewe hali yako ya kiuchumi ikoje. Sio na wewe ni naomba hela ya vocha halafu unaona wengine unawaona hawana kitu wakati wewe hauna chochote.
Sasa si uende kwa huyo kijana, kwani shida iko wapi??Nimgande anioe wakati yupo kijana mwenzangu anajitafuta anataka kunioa hata ya mkeka mkuu
hahaha kwa jibu hili ni dhahiri nawe ushakuwa broke na maisha kuliko hata huyo mwanaume, embu fanya uolewe na huyo mwamba mtengeneze broken familyWe doesn’t care now days
Haqyanani😂😂😂😂😂No reforms no election
Tuweni wakweli tu ndugu zangu
Hii unalichukuliaje kwangu mimi imenishinda
Unakutana na mwanaume anakwambia akuoe ukimuangalia bado uchumi umemchumu yaani kiufupi maisha yamempiga na ana miaka 34 hana kazi ya kueleweka yaani hata geto ana miliki godoro na nguo zake tu. Ubaya zaidi tayari ana mtoto, hebu waza hapo miaka tunapishana 7
Jamani msione kama tunataka wa mafanikio sana.. kwa umri wangu kuolewa na single father ambae ni broken bora nitafute kijana mwenzangu tuliepishana miaka 2-3 tukaanza maisha wote. Kuliko kujitumbukiza huko kwa single father broken mwenye stress zote
Kama ni ndugu yako wa kike au mwanao ungemshauri vipi??
Kwani wanaoa kweli bado au wanakupiga sound tu?No reforms no election
Tuweni wakweli tu ndugu zangu
Hii unalichukuliaje kwangu mimi imenishinda
Unakutana na mwanaume anakwambia akuoe ukimuangalia bado uchumi umemchumu yaani kiufupi maisha yamempiga na ana miaka 34 hana kazi ya kueleweka yaani hata geto ana miliki godoro na nguo zake tu. Ubaya zaidi tayari ana mtoto, hebu waza hapo miaka tunapishana 7
Jamani msione kama tunataka wa mafanikio sana.. kwa umri wangu kuolewa na single father ambae ni broken bora nitafute kijana mwenzangu tuliepishana miaka 2-3 tukaanza maisha wote. Kuliko kujitumbukiza huko kwa single father broken mwenye stress zote
Kama ni ndugu yako wa kike au mwanao ungemshauri vipi??
Bora uje kwangu tuanze maisha mimi nipo na 30yrs nipo kwa wazazi nawaza natokaje hapaNo reforms no election