Wanaume msiwe wanafki kwenye hili

😂 Ety uchumi umewachumu 😂 bc mm uchumi umenitoa uvulana wangu
 
Sio broken sema broke

 
Unaolewa na potential ya mtu, unaangalia baada ya miaka flan huyu ninavyomwona atakuwa wapi? Hawa waliojipata hawawez kumsahau ma Ex aliyewavumilia wakat hawajajipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…