😂😂😂😂 akaoe baby mama wakeUnaonekana wewe unafikira za kuwa ukiolewa basi wewe ukainjoyi tu mdada wewe ukome kabisa hata huyo kijana unaemtaka tafadhari usimsogelee ushindwe na ulegee. Kama unaona mwenzio Hana kazi ya kueleweka na tiyari kashakupenda wewe huoni utaenda kuwa chachu ya mafanikio yake tena ukiwa mshauri mfariji! Mpuuuzi wewe kwanza niombe msamaha nisije nikafika mbali.
Mimi bado sana jua kuzama sina harakaWakati wa "Bwana" ndio huu. Kumbuka kuna jua kuzama.
Yaani kila nikiona call yake nachukia maana nitaanza kusimuliwa matatizo yake sijui hana hela uwiiii mimi mwenyewe nina stress zinanivuruga halafu nae ananishirikisha zakeAaah bora afe na utamu wake kuliko hiyo dipresheni.🤣🤣🤣
Sasa si bora huyo 34 mimi wangu alikuwa bado kama miaka miwili au mitatu afike 40, sasa akimixx zile stress za kutojipata, malezi ya mtoto wake na wazazi wake yeye mwenyewe akichanganya na kazi, hapo unaweza ukamuuzi kidogo ila hasira zotee atakumalizia wewe, chakufia nini nimemuacha atafute watu wazima wenzie, siwezi kumvumilia mtu alafu anakuja kunimalizia stress zake zote mieYeah hata huyu japo hatujaanza ku date ila nishaona red flags nyingi yaani hapa alipo kashachanganyikiwa umri umeenda Hakuna cha maana alichokifanya basi kila ukiongea nae yeye ni kulalamika sijui nina stress kichwa kinauma sijui kazi hivi yaani Hakuna ile raha ya kuongea na mtu et mimi sasa nianze kumpa mtu moyo na hapo umri wote huo 34 bado apate drama za baby mama
Kibaya zaidi akipiga simu hujapokea anaanza kukulaumu yaani hakupi ile hamu ya kuongea nae unabaki kusema huyu sio bure ndio maana umemkuta single
Duuh yaani huyu hata sijamkubali yuko hivi nikimkubali jeSasa si bora huyo 34 mimi wangu alikuwa bado kama miaka miwili au mitatu afike 40, sasa akimixx zile stress za kutojipata, malezi ya mtoto wake na wazazi wake yeye mwenyewe akichanganya na kazi, hapo unaweza ukamuuzi kidogo ila hasira zotee atakumalizia wewe, chakufia nini nimemuacha atafute watu wazima wenzie, siwezi kumvumilia mtu alafu anakuja kunimalizia stress zake zote mie
Amna kitu aoe aliezaa nae angekuwa hana mtoto ningemfikiriaDada hao ndo waoaji kama ana hustle za akili chukka huyo muweke mikakati sisi wa umri wako. Asilimia 90% sio waoaji ila mipango ipo. Istoshe hio umri wake ndo wakutoboa mda wowote kama mvua za masika
Form 6Aah bailojia ya wapi mkuu
Ko shida ni single faza?Amna kitu aoe aliezaa nae angekuwa hana mtoto ningemfikiria
Mkuu watu wa age hiyo hawashindwi kukutoa kafaraForm 6
Single faza sio shida.. shida umri wake na usingle faza na ubrokenKo shida ni single faza?
Jamani msione kama tunataka wa mafanikio sana.. kwa umri wangu kuolewa na single father ambae ni broken bora nitafute kijana mwenzangu tuliepishana miaka 2-3 tukaanza maisha wote. Kuliko kujitumbukiza huko kwa single father broken mwenye stress zote
Mwambie atafute wa age yake wewe bado haupo tayari kwa ndoaDuuh yaani huyu hata sijamkubali yuko hivi nikimkubali je
Hapo nimekuelewaMkuu watu wa age hiyo hawashindwi kukutoa kafara
Hahaha mambo ya life insuranceSingle faza sio shida.. shida umri wake na usingle faza na ubroken
Sio 27 huyu ana 29 sasa hiviJibu unalo kwenye uzi wako
Kila mtu apambanie anapopaweza,huyo umemshindwa tafuta mliyezidiana miaka miwili muanze from 0 na asiye na mtoto
Sijui kama unajua lakini suala la mafanikio haliangalii umri,unaweza kuwa mtafutaji na usipate hata uwe na miaka 40
Kwa upande wako
Yupo mtu anakushangaa una miaka 27 hujaolewa
Yupo mtu anakushangaa una miaka 27 lakini bado una akili za kitoto za kutarajia kupata mwenza mwenye uwezo kipesa(atakayebeba shida zako)
SweetyCandy unaitwa huku uje na Unique Flower na katoto kazuriTofauti yako na da Mau kidogo wewe wanaume hawachukui nyota yako..!!
Bora nipambane tu mkuu hizo singlefaza ni stressJibu unalo kwenye uzi wako
Kila mtu apambanie anapopaweza,huyo umemshindwa tafuta mliyezidiana miaka miwili muanze from 0 na asiye na mtoto
Sijui kama unajua lakini suala la mafanikio haliangalii umri,unaweza kuwa mtafutaji na usipate hata uwe na miaka 40
Kwa upande wako
Yupo mtu anakushangaa una miaka 27 hujaolewa
Yupo mtu anakushangaa una miaka 27 lakini bado una akili za kitoto za kutarajia kupata mwenza mwenye uwezo kipesa(atakayebeba shida zako)
Dudu ni niniUja pewa dudu vizuri upo una litafuta hapa