Wanaume msiojua kutongoza mnakera

Wanaume msiojua kutongoza mnakera

Vipi nikituma Muamala wa M-PESA siku hiyo hiyo uliyonikubalia tongozo langu utaurudisha pia??
Au vepe
Kwahiyo unataka kusemaje labda? Kwamba mtu yeyote atakayenitumia pesa basi nimpe mzigo si ndiyo?
 
mnaona sasa wanaume wa Dar mnavyozingua !!

ila kama kuna chembe ya prostitute
 
Wanatongozana watoto!!
Umenifanya ni comment, mi sijui mara ya mwisho kutongoza ni lini, hata majibu siombagi, We as grown man have a trick. sio braah, braah, hata mimi huwa sipendi mtu mwenye stori nyingi nahisi ananipigia kelele, napenda actions.
 
Nawasalimu wakuu
Hii imekuwa kero sana jamani yaani wanaume hawajui kucheza na akili zetu(kina-dada)

Mtu anakutongoza leo asubuhi harafu jion anakuuliza "vipi jibu la ombi langu"? sasa hapo ndo unajibu nini kwamba nimekubali au?

Me mwanaume napenda akinitongoza aanze kunitreate kama tayari nimekuwa mtu wake, yaani nialike lunch, dina au hata kama huna uwezo wa kualika sehemu nioneshe tu kunijari siku mpaka siku

Hivyo vitu vingine vinakuja tu! automatically yaani kama nimekuelewa utajua tu wewe sio mpaka uniulize ila kama sijakuelewa nitakuonesha vile vile

Hapo unakuta jamaa kakukomalia eti lile jibu langu vipi, ukisema hapana utaambilia matusi hataree mara ooh! nilikuwa nakutest tu hufai kuwa mtu wangu kwani kutest hiyo veeepeee!!!

Povu ruksa jamani, maana kuna wengine wapo na stress zao huko watataka kuzihamishia kwangu ila mbadilike bandugu
😂😂😂
Bila shaka unawazungumzia wavulana sio wanaume above 20..
Demu anatoa mpaka papuchi hajaombwa jibu wala kuambiwa nakupenda and the likes..
Dinner and lunch normally do miracles to me
 
Nikifikiriaga hii incidence huwa sielewagi inawezekanaje, ila viashiria vya kukubaliwa unaviona tu. Ukimwomba kitu mfano mwende sehemu, akusindikize sehemu na excuse zake zinakuwa nadra sana, ujue mwelekeo ni mzuri maana anahitaji muda zaidi na wewe ili akufahamu so, be calm and stay focused.
Uko vizuri mkuu mwisho wa siku alikutunuku mwenyewe au sio?
Unatakiwa kumfanya yeye ndio aone anahitaji dushe sio wewe unahitaji papuchi yake
 
Na hii tabia ya kutongozwa tu hujajibu kuwa upo tayari unaanza kubebesha mwenzio majukumu vipi Mara sina hela ya kusuka kama unayo nisaidie mara kodi imeisha Mwenye NYUMBA ananidai Mara sina hela ya kula,, Hivi kama nisingekutongoza haya majukumu angebeba nani ? Jiangalieni kina Dada kuwatonhoza sio kwamba sisi ni matajiri ni basi tu kwakuwa tuna uhitaji nanyi,, halafu ukimnyima utasikia kwahiyo hata hela ya saloon huna halafu unanitaka inahuu!! Haloo kweli sio poa kabisa alianza kuomba apewe ndo mwingine aombe sio nimekuomba juzi hujanipa mpaka Leo halafu wewe unaomba Leo hela na unataka siku hiyohiyo kwani umeambiwa wanaume wote wanafanya kazi benki?
 
Nawasalimu wakuu
Hii imekuwa kero sana jamani yaani wanaume hawajui kucheza na akili zetu(kina-dada)

Mtu anakutongoza leo asubuhi harafu jion anakuuliza "vipi jibu la ombi langu"? sasa hapo ndo unajibu nini kwamba nimekubali au?

Me mwanaume napenda akinitongoza aanze kunitreate kama tayari nimekuwa mtu wake, yaani nialike lunch, dina au hata kama huna uwezo wa kualika sehemu nioneshe tu kunijari siku mpaka siku

Hivyo vitu vingine vinakuja tu! automatically yaani kama nimekuelewa utajua tu wewe sio mpaka uniulize ila kama sijakuelewa nitakuonesha vile vile

Hapo unakuta jamaa kakukomalia eti lile jibu langu vipi, ukisema hapana utaambilia matusi hataree mara ooh! nilikuwa nakutest tu hufai kuwa mtu wangu kwani kutest hiyo veeepeee!!!

Povu ruksa jamani, maana kuna wengine wapo na stress zao huko watataka kuzihamishia kwangu ila mbadilike bandugu
Asante kwa taarifa
 
Inategemea na kakutongoza anaomba nini,We mpe tu jibu lake kwa alichokiomba...hahahajokes
 
Anauliza ili asije ameashum kuwa kakubaliwa kumbe..bado Kwan ukiajikuta unaiashum utampeleka lunch au sehem nyingine nzur badae anaanza kkuletea uchawi..wakati unatumia Hera yako
 
Umenikumbusha form two/three ndio nilikua natongoza hivyo

Sahivi unatengeneza mazingira tu,mtoto anajaa vizuri tu!
 
Huyo jamaa anayekukula akaze kiuno bado nyege hazijaisha vizuri
 
jaribu kutongoza na wewe kama ni virahisi
Ndiyo maana mnasingiziwa hata mimba na watoto mwanamke anadanga huko anakuketea kumbe shida kujieleza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanawake ndio huwa hampo serious... Kwasababu haiwezekani uniambie kwamba upo single halafu nakufuata unaanza kunizungunisha....
Kuwa single si sababu yakukubali kimende mende mkuu
 
Kuna akina sie ambao kutongoza hatupendi kabisa yaan ni mwendo wa mialiko ya Kutoana out na ofa ndogo ndogo na kukujal kwa sasa as mpenz mpka unajikuta umekuwa mpenz bila kutongozwa....siku ukianza kulia kuwa mbona sikujal au sikupend ndio hapo nakuuliza lini niliwahi sema nakupenda
Mweeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani kusema nimekubali na sijakubali sh ngapi? Yaani mtu kukuelewa hadi akulishe chakula au bia/soda?
Haaa haaa ni shida , sasa mkuu mtu mzima kusema nimekubali daa Neno gumu hilo vitoto ndiyo husema hivyo huku vinang'ata vidole [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
...watu wanaenda na budget, aya mambo ypo probability ukimtongoza mwanke ni kama una beti kwa hyo mtu unaangalia na mechi yenyewe..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom