Wanaume msiojua kutongoza mnakera

Wanaume msiojua kutongoza mnakera

Nawasalimu wakuu
Hii imekuwa kero sana jamani yaani mwanaume hawajui kucheza na hakili zetu(kina-dada)

Mtu anakutongoza leo asubuhi harafu jion anakuuliza "vipi jibu la ombi langu"? sasa hapo ndo unajibu nini kwamba nimekubali au?

Me mwanaume napenda akinitongoza aanze kunitreate kama tayari nimekuwa mtu wake, yaani nialike lunch, dina au hata kama huna uwezo wa kualika sehemu nioneshe tu kunijari siku mpaka siku

Hivyo vitu vingine vinakuja tu! automatically yaani kama nimekuelewa utajua tu wewe sio mpaka uniulize ila kama sijakuelewa nitakuonesha vile vile

Hapo unakuta jamaa kakukomalia eti lile jibu langu vipi, ukisema hapana utaambilia matusi hataree mara ooh! nilikuwa nakutest tu hufai kuwa mtu wangu kwani kutest hiyo veeepeee!!!

Povu ruksa jamani, maana kuna wengine wapo na stress zao huko watataka kuzihamishia kwangu ila mbadilike bandugu
Umenikumbusha mbali saaana,!!
Nimekuelewa vzr sana,
 
Unabahati sana kama umempata boya, si tushasahaugi kitamboo sana
 
Nawasalimu wakuu
Hii imekuwa kero sana jamani yaani mwanaume hawajui kucheza na hakili zetu(kina-dada)

Mtu anakutongoza leo asubuhi harafu jion anakuuliza "vipi jibu la ombi langu"
Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
hao watakuwa wanaume wa Dar wanao shindana mdomo na dada zao, huku unamualika mchuchu unaomba papuchi akikata yechu yechuuu,ila una mchana kabisa mi nataka one night stand au niaje mamiloo
 
Mi naona kama wewe ndio una stress kiasi unatupangia namna ya kukutongoza. Sura yako na shepu havimpi mwanaume hamu ya kuprolong mambo yawe mareeefu, we kama umekubali jibu, kama hutaki si basi...hadi uje ulalamike?
Alafu kingine hivi kabisa wanawake wa milolongo hiyo bado wapo? Na wewe mwanaume na ndevu zako bado unafuata hiyo milolongo yote kwa kipi?

Asichokijua mleta mada ni kwamba wakati yeye anasubiri afanyiwe hivi anavyotaka kuna mrembo mwenzie muda huohuo anatuma tuma sms kwamba nataka nije kukuona.
 
Bado watu wanatongozwa? Sasa hivi mwanamke aliye katika mipango ya muda mfupi ni kuingia nae mkataba Wa wazi tu hakuna longolongo. Mwanamke aliye katika mipango ya muda mrefu ni kujimilikisha tu halafu unasoma upepo kama unavuma vyema basi unaongeza makeke hakuna kudanganya.
 
Na wale wanaume ambao wakitutongoza na tukawakubalia tu hapo hapo wanaomba mzigo wakome mimi mwanaume akinitongoza nikamkubalia halafu eti siku hiyo hiyo akaniomba mzigo mbona atafurahi na roho yake jinsi nitakavyobadili gia angani
 
Mimi niliposoma hiyo sehemu ya kwanza nikajutana na neno "hakili" basi tayari nikwa nishajua mtoa mada yupoje...

Kwanza ni lazima form 4 alifeli..

Pili anaamni sana kuwa K yake ni mtaji..

An tamaa ile mbaya tamaa haswaaaa kwa maisha fulani mazuri...

Jamaa ni kweli kaaribu sana... Lakin demu nae kachangia jamaa kumuingia kwa staili hiyo.. Maana watumiaji wa "ha" badaa ya"a" ni washamba washamba fulani... Chalii kaona asiumize kichwa untaka kubali hutaki kataaaa...

Yaan maana yake vyovyote fresh tu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nawasalimu wakuu
Hii imekuwa kero sana jamani yaani mwanaume hawajui kucheza na hakili zetu(kina-dada)

Mtu anakutongoza leo asubuhi harafu jion anakuuliza "vipi jibu la ombi langu"? sasa hapo ndo unajibu nini kwamba nimekubali au?

Me mwanaume napenda akinitongoza aanze kunitreate kama tayari nimekuwa mtu wake, yaani nialike lunch, dina au hata kama huna uwezo wa kualika sehemu nioneshe tu kunijari siku mpaka siku

Hivyo vitu vingine vinakuja tu! automatically yaani kama nimekuelewa utajua tu wewe sio mpaka uniulize ila kama sijakuelewa nitakuonesha vile vile

Hapo unakuta jamaa kakukomalia eti lile jibu langu vipi, ukisema hapana utaambilia matusi hataree mara ooh! nilikuwa nakutest tu hufai kuwa mtu wangu kwani kutest hiyo veeepeee!!!

Povu ruksa jamani, maana kuna wengine wapo na stress zao huko watataka kuzihamishia kwangu ila mbadilike bandugu
Demiss huyu tena, mweke katika list ya walioachwa na wapo katika mchakato.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom