Wanaume msiojua kutongoza mnakera

Wanaume msiojua kutongoza mnakera

Tunaokoa muda, masuala ya unatongoza demu mwaka mzima ni kama unasomea kozi ya ukocha ni ubwegee, yani unamsumbua mtu wakati huohuo kuna muhuni mwingine anakukaza [emoji37][emoji37][emoji37]
 
Haaa haaa ni shida , sasa mkuu mtu mzima kusema nimekubali daa Neno gumu hilo vitoto ndiyo husema hivyo huku vinang'ata vidole [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu tuambie mtu mzima wewe unafanye ili mtu ajue upo tayari kwa kuliwa
 
Ukiwa serious, unatoa jibu sahihi kwa wakati sahihi... Haina haja ya kufichana fichana
Wewe labda huwa unamuona yeye ndiyo kakuona hapo hapo jibu nimekubali daa jamani si nitakubali mpaka majini na misukule!
 
Wanaume wa ajabu sana wengine wanafanya hizo mambo ila wale wanaojifanya wajuaji matusi na kuponda etiii nilkuwa nakujaribu nimeona mwanamke huyu kilazaa hiyo vepeeeee

Yan wanaume wanajionaga miungu watu wakat kwenye k hawana ujanja wowote kutwa kutupondaa oooh tukikubali haraka Malaya tukiwazungusha shida hawaeleweki wanataka nini?

Sasa nasemaje mwanamme unayebwabwaja utahangaika sana wenzako wanatutreat tu wanajilia vizur vya dunia nyaaaaaau kabisaaa
Hahahahahahahah haha
 
Hebu tuambie mtu mzima wewe unafanye ili mtu ajue upo tayari kwa kuliwa
Unajua watu mliopendana na kuvutiana mapenzi huja automatically labda kama ni mdangaji sasa mie nina safari zangu unanisimamisha jamani kabla hata sijafika niendako SMS vipi jibu langu daa hapana
 
Wewe labda huwa unamuona yeye ndiyo kakuona hapo hapo jibu nimekubali daa jamani si nitakubali mpaka majini na misukule!
Inategemea na mazingira ambayo mmekutana... Mfano binafsi namueleza mwanamke hisia zangu za mapenzi juu yake baada ya kumfuatilia mara kadhaa...
Na lazima nikuwekee mazingira ya kuhisi juu ya hisia zangu... Sasa kama mazingira ndio hayo, kuna haja gani ya kuniweka benchi miezi na miezi... Wiki moja ama mbili zinatosha kabisa kunipa jibu...
 
Unajua watu mliopendana na kuvutiana mapenzi huja automatically labda kama ni mdangaji sasa mie nina safari zangu unanisimamisha jamani kabla hata sijafika niendako SMS vipi jibu langu daa hapana
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Inategemea na mazingira ambayo mmekutana... Mfano binafsi namueleza mwanamke hisia zangu za mapenzi juu yake baada ya kumfuatilia mara kadhaa...
Na lazima nikuwekee mazingira ya kuhisi juu ya hisia zangu... Sasa kama mazingira ndio hayo, kuna haja gani ya kuniweka benchi miezi na miezi... Wiki moja ama mbili zinatosha kabisa kunipa jibu...
Hayo mazingira ndiyo yanatakiwa sio kuni approach papo kwa papo majibu no! Hapo umetoka kubwanaga na mtu ghafla mwingine hapana hayo mazingira ndiyo yanatakiwa
 
Mimi nimekupenda, naomba tuwe wapenzi... Tuwe pamoja na kuweza kufunga ndoa hapo baadaye... Nakuahidi hutojutia kunipenda... Hapo vipi...???
 
Kukupa jibu hapo hapo siwezi lazima namie nikujue wewe ni nani! Tena habari za kuoa ndiyo mbaya kabisa mtu anaweza kwambia sina mke kabisa kumbe ana mke na watoto 5 nani anataka stress Baba mtu mpeane muda unaweza komaa na mtu kumbe Mme wa mtu mkewe kasafiri au mchumba wa mtu anajiandaa kuoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ghafla hapatikani yupo honeymoon
 
La muhimu ni kutambuana kwanza... Lakini hapa si mume wa mtu wala mchumba wa mtu...
Kukupa jibu hapo hapo siwezi lazima namie nikujue wewe ni nani! Tena habari za kuoa ndiyo mbaya kabisa mtu anaweza kwambia sina mke kabisa kumbe ana mke na watoto 5 nani anataka stress Baba mtu mpeane muda unaweza komaa na mtu kumbe Mme wa mtu mkewe kasafiri au mchumba wa mtu anajiandaa kuoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ghafla hapatikani yupo honeymoon
 
Wapo wanaowaza kwa kutumoa mapu*bu yao, anahisi kila anaemtongoza ni malaya tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom