Wanaume msiojua kutongoza mnakera

Wanaume msiojua kutongoza mnakera

watu wanataka kukujamii we unaleta mahaba dada angu,wanaume tuna mambo mengi siku hizi hatuna muda wa mahaba tunataka kuwajamii tu
 
Umeonaaa eeeh yan mm mwenyewe sipendag huo ushambaaa tena upo sana humu jf
Duh! Mnatusimanga sana ila wanaume tupo tofauti sana. Mwanaume anayejua kama mimi siwezi kukutongoza halafu nikakuuliza vipi jibu langu? najua siku zote mwanamke hawezi kukuambia nimekukubali. kitu kingine huwa nashangaa sana wanaume wenzengu wanaomba mchezo. Unampigia mpenzi wako unamwambia naomba mchezo au kesho tukutane nipige mambo? mimi siwezi hata kesho kutwa. Tukishakuwa wapenzi tu, tayari nakula mzigo. Naweza kukuambia leo tutoke out huko ndiko unakoliwa
 
Ewaaah ubarikiwe Sana kaka anguuu wewe upo tofauti
Duh! Mnatusimanga sana ila wanaume tupo tofauti sana. Mwanaume anayejua kama mimi siwezi kukutongoza halafu nikakuuliza vipi jibu langu? najua siku zote mwanamke hawezi kukuambia nimekukubali. kitu kingine huwa nashangaa sana wanaume wenzengu wanaomba mchezo. Unampigia mpenzi wako unamwambia naomba mchezo au kesho tukutane nipige mambo? mimi siwezi hata kesho kutwa. Tukishakuwa wapenzi tu, tayari nakula mzigo. Naweza kukuambia leo tutoke out huko ndiko unakoliwa
 
Kwa nini machizi wa kiume nao wasibakwe na wanawake
we nawe unakuwa kama huelewi, elewa kuwa mwanamke aliumbwa kwa ajili ya mwanaume, naturally, ndio maana mwanaume ndiye anaekutongoza wewe
 
Mi nikikuelewa nnakuomba namba straight to your face. Ukinipa namba kulingana na nafasi itakavyoruhusu nakualika dinner! Nikiongea na wewe mara moja tu, naondoka nishajua kama unafaa kuendelea au lah. (Its called maturity). Try it jamani, it works
 
Wanaume wa ajabu sana wengine wanafanya hizo mambo ila wale wanaojifanya wajuaji matusi na kuponda etiii nilkuwa nakujaribu nimeona mwanamke huyu kilazaa hiyo vepeeeee

Yan wanaume wanajionaga miungu watu wakat kwenye k hawana ujanja wowote kutwa kutupondaa oooh tukikubali haraka Malaya tukiwazungusha shida hawaeleweki wanataka nini?

Sasa nasemaje mwanamme unayebwabwaja utahangaika sana wenzako wanatutreat tu wanajilia vizur vya dunia nyaaaaaau kabisaaa
Jibu langu vipi?
 
Kumbe!
Nawasalimu wakuu
Hii imekuwa kero sana jamani yaani wanaume hawajui kucheza na akili zetu(kina-dada)

Mtu anakutongoza leo asubuhi harafu jion anakuuliza "vipi jibu la ombi langu"? sasa hapo ndo unajibu nini kwamba nimekubali au?

Me mwanaume napenda akinitongoza aanze kunitreate kama tayari nimekuwa mtu wake, yaani nialike lunch, dina au hata kama huna uwezo wa kualika sehemu nioneshe tu kunijali siku mpaka siku

Hivyo vitu vingine vinakuja tu! automatically yaani kama nimekuelewa utajua tu wewe sio mpaka uniulize ila kama sijakuelewa nitakuonesha vile vile

Hapo unakuta jamaa kakukomalia eti lile jibu langu vipi, ukisema hapana utaambulia matusi hataree mara ooh! nilikuwa nakutest tu hufai kuwa mtu wangu kwani kutest hiyo veeepeee!!!

Povu ruksa jamani, maana kuna wengine wapo na stress zao huko watataka kuzihamishia kwangu ila mbadilike bandugu
 
Kwa nini unaniponda kiasi hiki....? Kuwa na huruma basi[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Nawasalimu wakuu
Hii imekuwa kero sana jamani yaani wanaume hawajui kucheza na akili zetu(kina-dada)

Mtu anakutongoza leo asubuhi harafu jion anakuuliza "vipi jibu la ombi langu"? sasa hapo ndo unajibu nini kwamba nimekubali au?

Me mwanaume napenda akinitongoza aanze kunitreate kama tayari nimekuwa mtu wake, yaani nialike lunch, dina au hata kama huna uwezo wa kualika sehemu nioneshe tu kunijali siku mpaka siku

Hivyo vitu vingine vinakuja tu! automatically yaani kama nimekuelewa utajua tu wewe sio mpaka uniulize ila kama sijakuelewa nitakuonesha vile vile

Hapo unakuta jamaa kakukomalia eti lile jibu langu vipi, ukisema hapana utaambulia matusi hataree mara ooh! nilikuwa nakutest tu hufai kuwa mtu wangu kwani kutest hiyo veeepeee!!!

Povu ruksa jamani, maana kuna wengine wapo na stress zao huko watataka kuzihamishia kwangu ila mbadilike bandugu
Nikilala nakuota wewe, nikitembea nasikia sauti yako
 
jaribu kutongoza na wewe kama ni virahisi
Anaanzaje? Hawajui kuwa kutongoza ni kazi kama kazi nyingne? Hicho nacho ni kipaji nakumbuka kipindi kile cha S.L.P kulikuwa na watu maalumu wa kuandika barua za kutongoza na si kila barua ilipenya. Sasa bi dada jaribu kushawishi njemba moja humu ndani uone ugumu wake.
 
Na nyie punguzeni kuomba hela sisi wanaume tunajua wajibu wetu,sio baada ya salaam tu vocha huna,na nywele zinafumuka muda huohuo,na hapo ndipo huja wazo la nipe nikupe,,
Nyau nyie hamueleweki nini mnataka dunia hii
 
Ni mwendo wa ndiyo au hapana,,, hizo lunch kale kwenu,, nianze kukulisha kabla hujanipa jibu thubutuuuu!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom