Miss_Irene
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 320
- 456
Nawasalimu wakuu
Hii imekuwa kero sana jamani yaani wanaume hawajui kucheza na akili zetu(kina-dada)
Mtu anakutongoza leo asubuhi harafu jion anakuuliza "vipi jibu la ombi langu"? sasa hapo ndo unajibu nini kwamba nimekubali au?
Me mwanaume napenda akinitongoza aanze kunitreate kama tayari nimekuwa mtu wake, yaani nialike lunch, dina au hata kama huna uwezo wa kualika sehemu nioneshe tu kunijali siku mpaka siku
Hivyo vitu vingine vinakuja tu! automatically yaani kama nimekuelewa utajua tu wewe sio mpaka uniulize ila kama sijakuelewa nitakuonesha vile vile
Hapo unakuta jamaa kakukomalia eti lile jibu langu vipi, ukisema hapana utaambulia matusi hataree mara ooh! nilikuwa nakutest tu hufai kuwa mtu wangu kwani kutest hiyo veeepeee!!!
Povu ruksa jamani, maana kuna wengine wapo na stress zao huko watataka kuzihamishia kwangu ila mbadilike bandugu