Wanaume mnawezaje kuwatongoza wanawake waliowazidi umri?

Wanaume mnawezaje kuwatongoza wanawake waliowazidi umri?

Hii ktu n kujiamin tu aiseeee
Kama hujiamin hata kuwa salimia huwez kabsa

Alaf n cheap sana ukiwa katia
Hapo hapo unapewa yes or no
 
Hawa mabi mdashi niwazuri bhana.. yaani unaweza hata usikumbuke kama kuna videmu uchwara.

yaani natongoza uso kwa uso ile kuwa na aibu nakuwa sina, hawa ni watu wazima wamepitia meng kwenye mapenzi na ukisha anza kuogea nae anajua kabisa lengo lako ni nini..

kuna mmoja nilikuwa nimekaa nae maeneo flani anapunga upepo mim napita zangu njia nikaona ngoja nimchokoze nikaa pale alipo kuwa amekaa, tukaanza kupiga za maisha magumu, nikabadili story juu kwa juu, nikamwambia kipindi ukiwa kijana inaonekana ulikuwa mzuri sana, hahaha akacheka

*Sametext Missing*
 
I mean huwa najiuliza hivi unapataje ujasiri wa kumtongoza mwanamke mtu mzima umri kuanzia 40+ pale unapokutana nae whether barabarani, kwenye basi, mgawahawani, dukani etc.

Kwa wale ambao mmewahi kufanya tukio hili na mkafanikiwa naomba ushuhuda na ways maana huwa nawatamani but i jus cant get the pick up lines.
Aisee pole. Kwataarifa yako hakuna watu wepesi kama watu wazima. Unajua kwanini? Washazoea na wanajua vyema juu mapenzi. Hata wakikupa hawana cha kupoteza. Yaani hakuna watu rahisi kuwa nao kama watu wazima. But ukiendekeza hutaoa
 
Sema inahitaji moyo kumuangalia mtu usoni aliyekula chumvi nyingi kama bimkubwa wako halafu imtupie madini.....mara 2 nimesanda ingawa ilikuwa kama slope tu yaani....
 
Mimi nilikuwa na 57 babu nikiwa na 22
Nikamtosa nikawa na mkaka wa 27 akanipasua kichwa sana.
Nikahamia kwa 63 man
Hivi sasa niko na 52 man na tuko vizuri kabisa.
Kidumi chama tawala
We sasa hivi unaumri gani
 
Nilijua na sisi wanawake tunatakiwa kushuhudia maana walotuzidi umri ndo wengi tunakutana nao
Kuna mmoja hapo kashuhudia kuwa alikuwa na 57 akaja 27 akaenda 60 something sasa hivi yupo na 52 katulia
 
Mapenzi uwa ayachagui umri.mi nilikuwa na mwanamke wa miaka 41 wakati nikiwa na umri wa miaka 23 baadae nikampata wa miaka 47 wakati mimi nikiwa na miaka 27.sasa ivi nina miaka 30 natafuta nimpate wa miaka miaka hata 50 au hata 55 maana uwa sio pasua kichwa wana mapenzi ya kweli
Shule zifunguliwe mkasome
Story za abunuasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom