Wanaume mnawezaje kuwatongoza wanawake waliowazidi umri?

ConsciousMan

Member
Joined
Mar 28, 2018
Posts
58
Reaction score
71
I mean huwa najiuliza hivi unapataje ujasiri wa kumtongoza mwanamke mtu mzima umri kuanzia 40+ pale unapokutana nae whether barabarani, kwenye basi, mgawahawani, dukani etc.

Kwa wale ambao mmewahi kufanya tukio hili na mkafanikiwa naomba ushuhuda na ways maana huwa nawatamani but i jus cant get the pick up lines.
 
Mapenzi hayana umri, kabila wala dini. Ukimpenda na ukimtaka mwanamke kiukweli maarifa huwa yanatokea tu. Sijua lakini kwa wavulana wa mikoani wao wana namna tofauti na wanawake wao huko kwenye mikorosho, mikahawa na migomba
hahahah
 
Mapenzi uwa ayachagui umri.mi nilikuwa na mwanamke wa miaka 41 wakati nikiwa na umri wa miaka 23 baadae nikampata wa miaka 47 wakati mimi nikiwa na miaka 27.sasa ivi nina miaka 30 natafuta nimpate wa miaka miaka hata 50 au hata 55 maana uwa sio pasua kichwa wana mapenzi ya kweli
 
duuuu umetisha mwana hahaaaaaaa
 
Mapenzi uwa ayachagui umri.mi nilikuwa na mwanamke wa miaka 41 wakati nikiwa na umri wa miaka 23 baadae nikampata wa miaka 47 wakati mimi nikiwa na miaka 27.sasa ivi nina miaka 30 natafuta nimpate wa miaka miaka hata 50 au hata 55 maana uwa sio pasua kichwa wana mapenzi ya kweli
hahaaha we jamaa unastahili tuzo
 
Mapenzi uwa ayachagui umri.mi nilikuwa na mwanamke wa miaka 41 wakati nikiwa na umri wa miaka 23 baadae nikampata wa miaka 47 wakati mimi nikiwa na miaka 27.sasa ivi nina miaka 30 natafuta nimpate wa miaka miaka hata 50 au hata 55 maana uwa sio pasua kichwa wana mapenzi ya kweli
Mtafuta bibi Cheka.
 
I mean huwa najiuliza hivi unapataje ujasiri wa kumtongoza mwanamke mtu mzima umri kuanzia 40+ pale unapokutana nae whether barabarani, kwenye basi, mgawahawani, dukani etc.

Kwa wale ambao mmewahi kufanya tukio hili na mkafanikiwa naomba ushuhuda na ways maana huwa nawatamani but i jus cant get the pick up lines.
Kiutani utani tu hadi kinaeleweka
 
Mbinu za kuwa na mahuaiano na mwanamke mtu mzima.

1. Penda kuwa naye karibu kila wakati.

2. Kuwa msafi na kuonekana nadhifu.

3. Ongea naye juu ya maisha halisi , malengo , maendeleo na ongea point.

4. Onesha utu uzima katika maongezi yako , vitendo vyako n.k

5. Kuwa mcheshi na kumfanya afurahi muda mwingine,

6. Mtongoze kiutuuzima na mistari yako iwe imesimama / classic approach.

7. Mpe muda kabla hujamla papuchi yake

8. Usimchoshe kwenye 6 × 6 mfanyie mautundu apagawe.

Ya ziada.

Fursa ni kumuomba hela kidizaini na una"invest" taratibuuu

[emoji23] [emoji1] [emoji119]
 
Mapenzi uwa ayachagui umri.mi nilikuwa na mwanamke wa miaka 41 wakati nikiwa na umri wa miaka 23 baadae nikampata wa miaka 47 wakati mimi nikiwa na miaka 27.sasa ivi nina miaka 30 natafuta nimpate wa miaka miaka hata 50 au hata 55 maana uwa sio pasua kichwa wana mapenzi ya kweli
wee kiboko kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom