Mapenzi uwa ayachagui umri.mi nilikuwa na mwanamke wa miaka 41 wakati nikiwa na umri wa miaka 23 baadae nikampata wa miaka 47 wakati mimi nikiwa na miaka 27.sasa ivi nina miaka 30 natafuta nimpate wa miaka miaka hata 50 au hata 55 maana uwa sio pasua kichwa wana mapenzi ya kweli
Haha u really r somethingMimi nilikuwa na 57 babu nikiwa na 22
Nikamtosa nikawa na mkaka wa 27 akanipasua kichwa sana.
Nikahamia kwa 63 man
Hivi sasa niko na 52 man na tuko vizuri kabisa.
Kidumi chama tawala
Mimi nilimpa shikamoo kwanza mengine ndio yakafataI mean huwa najiuliza hivi unapataje ujasiri wa kumtongoza mwanamke mtu mzima umri kuanzia 40+ pale unapokutana nae whether barabarani, kwenye basi, mgawahawani, dukani etc.
Kwa wale ambao mmewahi kufanya tukio hili na mkafanikiwa naomba ushuhuda na ways maana huwa nawatamani but i jus cant get the pick up lines.
Naona unamuiga wajina wakoMapenzi uwa ayachagui umri.mi nilikuwa na mwanamke wa miaka 41 wakati nikiwa na umri wa miaka 23 baadae nikampata wa miaka 47 wakati mimi nikiwa na miaka 27.sasa ivi nina miaka 30 natafuta nimpate wa miaka miaka hata 50 au hata 55 maana uwa sio pasua kichwa wana mapenzi ya kweli
Ilikuwaje mkaachana?Mwanamke niliyeanza naye nilikuwa na 20 yy 30, kiumbo tulikuwa sawa ndo mwanamke niliyetokea kumpenda kuliko na ndo mwanamke ambaye mahusiano yetu yalidumu kwa muda mrefu nimeachana nae tukiwa tumedumu 6 yrs.
Na sikuwahi kumsaliti kwa jinsi nilivyokuwa nampenda, umri ni namba tu.
Toa mfanoKuna wamama watu wazima wako vizuri kimionekano. Wakichuana na wasichana wa 20s wanaweza kuwaacha kwa mbali.
Hawa wanapendwa na vijana, wakiwa pamoja in public wanakuwa comfortable.
Mimi nilimpata humu humu Jf,na Mimi nilibugi kwenye umri hapoWapo wengi mtaandaoni kuna mmoja nilikutana nae 37 ana watoto watatu tatizo nilikosea kutaja umri akanitosa [emoji2] ila wanawake wakubwa ni watamu bhn hasa hasa wale waliokuzidi miaka 8+ yaan zile pachuchi zao km zinajikunja ndani halafu zinajiachia tena me nawakubali sn
Haaaaah aisee me nishajifunza next time nacheza na umri tuMimi nilimpata humu humu Jf,na Mimi nilibugi kwenye umri hapo
Hahaha zinajikunja tenaWapo wengi mtaandaoni kuna mmoja nilikutana nae 37 ana watoto watatu tatizo nilikosea kutaja umri akanitosa [emoji2] ila wanawake wakubwa ni watamu bhn hasa hasa wale waliokuzidi miaka 8+ yaan zile pachuchi zao km zinajikunja ndani halafu zinajiachia tena me nawakubali sn
Tuseme zina jifinya kwa ndani [emoji2] [emoji2]Hahaha zinajikunja tena
We unastahili tuzo ya ushujaa,una dili na vibibi vizee tuMapenzi uwa ayachagui umri.mi nilikuwa na mwanamke wa miaka 41 wakati nikiwa na umri wa miaka 23 baadae nikampata wa miaka 47 wakati mimi nikiwa na miaka 27.sasa ivi nina miaka 30 natafuta nimpate wa miaka miaka hata 50 au hata 55 maana uwa sio pasua kichwa wana mapenzi ya kweli
tyl znakuwa zmeshazeeka,, ni km vile mashavu yanavotepeta au kujikunjaTuseme zina jifinya kwa ndani [emoji2] [emoji2]
Huyo mdogo kwakeMtafuta bibi Cheka.
Na wewe unaye??Siku hizi yanafanyikia kwenye simu, wakikamilisha kukubalina ndio wanaenda kukutana jambo ambalo hakitakuwa gumu sana
Screenshotted....Mbinu za kuwa na mahuaiano na mwanamke mtu mzima.
1. Penda kuwa naye karibu kila wakati.
2. Kuwa msafi na kuonekana nadhifu.
3. Ongea naye juu ya maisha halisi , malengo , maendeleo na ongea point.
4. Onesha utu uzima katika maongezi yako , vitendo vyako n.k
5. Kuwa mcheshi na kumfanya afurahi muda mwingine,
6. Mtongoze kiutuuzima na mistari yako iwe imesimama / classic approach.
7. Mpe muda kabla hujamla papuchi yake
8. Usimchoshe kwenye 6 × 6 mfanyie mautundu apagawe.
Ya ziada.
Fursa ni kumuomba hela kidizaini na una"invest" taratibuuu
[emoji23] [emoji1] [emoji119]