stable hech
Member
- Aug 4, 2015
- 20
- 6
inategemea na shamba lenyewe.. mashamba mengine hayana unadhifu unaopelekea shida hii kwetu
Unajua nilifikiri wanawake mutakuwa na mawazo ya maendeleo kumbe munataka haki ya ngono aseee!!!!Heri kiumbe wewe husiye na udhaifu
The perfect dukebwoy
The perfect wapi ndg yngu.... wanakurufuka ka bata utasikia haaa haaa dakik mbili kwsha hbar yke... wanachfua sana kupka wenzao mijasho yao.. halafu utalickia linakuuliza wee tayar kha!Heri kiumbe wewe husiye na udhaifu
The perfect dukebwoy

There is time for everything,Unajua nilifikiri wanawake mutakuwa na mawazo ya maendeleo kumbe munataka haki ya ngono aseee!!!!
Kwani hili jukwaa lilowekwa kwa ajili gani? Uchumi una jukwaa lake pia na liko bize pua.Nawe ni jipu!wenzako wanawaza kujenga uchumi we ngono tuu
Nawe jipu wwKwani hili jukwaa lilowekwa kwa ajili gani? Uchumi una jukwaa lake pia na liko bize pua.
Hakuna kingine mkuu ni ngono na utapeli tuuuu ndio maana tunatawaliwa kila uchwaoExceptional Lady umenifanya niikumbuke kauli ya Donald Trump kwamba "Waafrika tunachoweza na kuwaza ni ngono na wizi tu".
Yan hawaeleweki kama mvua za dsmHamna jema wanawake tukiwapeleka mbio ndefu utasikia "hauchoki?" mara "kila siku?" Sasa mnatakaje?