Wanaume: Mnajisikia vipi mnavyoombwa pesa?

Wanaume: Mnajisikia vipi mnavyoombwa pesa?

isee yaana huwa najiuliza kabla hajaanza kupenda pesa alikuwa anamwomba nan coz anakuomba pesa ya vocha kusuka kuvaa out na anaisha kwao vip ukimuoa si atakuomba roho yako
 
Ngoja ntafte zangu tu maana jasho LA mtu haliliwi....


Hapana banaa. Ni wajibu wetu wa kiasili kabisa kuwasaidia ninyi.

Shida tu ni pale mwanamke anapokuwa hajitambui.

Hata hivyo, nimependa attitude yako...
 
mimi huwa najisikia sana vibaya kuomba ila sipewi wala nini...na mimi sitoi papuchi wala nini ...tunaachanaga hivo...
siku nikipata wa kunipa hela nitamkubalia tutulie tupange maisha mimi naamini kuomba hela sio uhuni
no money no honey!

natafuta nini iko mbaya jamani. Bila kutafuna maneno sahihi ni kwamba mwanaume wa ukweli...responsible and caring lazima lazima ajitahidi kukidhi mahitaji ya mpenzi wake as much as uwezo wake unavyoruhusu.

But wasiwasi wangu ni kuwa hiyo attitude na practice yako inampa mwanaume ujumbe mmoja tu mchungu...kuwa wewe ni muuzaji, mhuni, malaya n.k. Bahati mbaya it does not click so very well kwa wanaume makini. Hata kama kiuhalisia hauko hivyo. Tafadhali badilika, if you can. Avoid giving negative signals unnecessarily bi dada
 
baby naomba uniazime elf hamsini niende saluni kesho nina interview mjini pia sina kiatu kizuri natamani ninunue kipya...pls baby najua nakusumbua but sitorudia tena....


Ha ha haaah. Wewe mtundu sana..
 
Mwenyewe nilikua kama wewe,nikaja kugundua michepuko yake inachuma tu hata waombe sh ngapi wanapewa,na simu wananunuliwa,so i had to change my mind mdogo mdogo nikaomba hadi kiwanja.
Ila kama hupendi endelea hvohvo,ila usipanic ukiskia kuna wenzako wanachuma.
[emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435][emoji1435]

Aaah, Galore! Kwanini jamaa aliamua kumharibu mtoto mzuri kama wewe kwa kutotimiza wajibu wake proactively? Pole zake! Daaaah!
 
Mimi ni msichana nina mpenzi wangu ambaye nampenda ila nikiwa na shida huwa najishauri sana kumuomba hela,sipendi hiyo hali lakini nitafanyaje,sina kazi na bado nasoma,japo nikimuomba ananipa lakini sijui huwa anajisikiaje.

Huwa natumia njia ya simu kumuomba kwasababu nikiwa nae nashindwa kabisa kumwambia yani sielewi namuogopa ama nini.

Please nisaidieni wanaume huwa mnachukuliaje wapenzi wenu wanaowaomba hela ila mimi mpaka nikiwa na shida kubwa, please help.
Mchumba hasomeshwi
 
Aaah, Galore! Kwanini jamaa aliamua kumharibu mtoto mzuri kama wewe kwa kutotimiza wajibu wake proactively? Pole zake! Daaaah!

Haahaha wanaume wengine hawana jema hata ufanyeje,anaweza kukuchakaza afu akakubwaga mchana kweupeeee,ya nini yote hayo?,acha njilie vyangu muda ukifika nasepa huku natereza tu kama nipo kwenye ganda la parachichi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]
 
Mimi binafsi sina sababu za kumuomba hela maana nikiangalia kazi anayofanya ni sababu tosha ya kumuhurumia ukizingatia sina matumizi makubwa ambayo nashindwa kuyamudu. Mpaka anaamua kukupa mwenyewe tena kwakutuma kwenye simu maana anajua live siwezi kuipokea. Wanawake tuwe na huruma mda mwengine ila pia huwa nashangaa maswali ya wanaume ya kwanini uchukui hela yangu au nani amekusaidia hili au lile daaah mnalazimisha mizinga mda mwengine.

This is amazing...hongera kwa mtazamo wa aina hiyo!
 
Haahaha wanaume wengine hawana jema hata ufanyeje,anaweza kukuchakaza afu akakubwaga mchana kweupeeee,ya nini yote hayo?,acha njilie vyangu muda ukifika nasepa huku natereza tu kama nipo kwenye ganda la parachichi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]

Ha ha ha....huo ni mterezo babkubwa...wa kiwango cha lami. But i hear you Galore...yeah I do !
 
natafuta nini iko mbaya jamani. Bila kutafuna maneno sahihi ni kwamba mwanaume wa ukweli...responsible and caring lazima lazima ajitahidi kukidhi mahitaji ya mpenzi wake as much as uwezo wake unavyoruhusu.

But wasiwasi wangu ni kuwa hiyo attitude na practice yako inampa mwanaume ujumbe mmoja tu mchungu...kuwa wewe ni muuzaji, mhuni, malaya n.k. Bahati mbaya it does not click so very well kwa wanaume makini. Hata kama kiuhalisia hauko hivyo. Tafadhali badilika, if you can. Avoid giving negative signals unnecessarily bi dada
nishakuwa addicted sana yaani mwanammme nisipomuomba hela anipe siwezi kumpenda...hela yenyewe kidogo tu elfu 50 .
sema ndo hivo hawatoi wanasepa yaani hii interview yangu atakaefaulu serias ataenjoy sana.
ujue nini ndo maana wanawake wazuri hawaolewi wanaume wanaoa tu wanawake cheap saana wanakuja kuwatesa kizuri gharama bwana
 
Najisikia amani sana...napata hasira zaku make more and more and more
 
Hapana banaa. Ni wajibu wetu wa kiasili kabisa kuwasaidia ninyi.


Wajibu wetu wewe na nani? Jiongelee mwenyewe usitake kuweka watu wote kwenye kapu moja, wengine hatufagilii kuombwa hela na mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi kama mimi!
 
shida yenu wadada! mnageuza wanaume vitega uchumi! kwanini oumbe hela! tafuta zako! msipende kuwa tegemezi! mwanaume anayekupa hela! ni rahisi kukurubuni na kukufanyia anachotaka! na nivigumu kujinasua!
 
nishakuwa addicted sana yaani mwanammme nisipomuomba hela anipe siwezi kumpenda...hela yenyewe kidogo tu elfu 50 .
sema ndo hivo hawatoi wanasepa yaani hii interview yangu atakaefaulu serias ataenjoy sana.
ujue nini ndo maana wanawake wazuri hawaolewi wanaume wanaoa tu wanawake cheap saana wanakuja kuwatesa kizuri gharama bwana


Daah...basi bana kama ishakuwa addiction tena. Labda nahitajika nikuondoe kwenye hilo janga kwa kukupa multistage exposure kama therapeutic plan kwako. Nimeamua kujitolea kukupa basi bibie natafuta
 
Mimi usiponiomba ela najua tu kuna jamaa atakuaanahudumia... Japo ukiniomba sitakupa kwa mda
 
Kuombwa pesa siyo tatizo shida pale inapokuwa kila mara though ni nzuri kupewa bila kuomba ila sisi mabahili saa ingine tunajibahilia hata wenyewe.
 
Back
Top Bottom