Wanaume: Mnajisikia vipi mnavyoombwa pesa?

Wanaume: Mnajisikia vipi mnavyoombwa pesa?

unajisikia vibaya kuomba hela seriously!!! aisee una ualakini, mbona wao hawajisikii vibaya kutuomba papuchi!!
 
Wajibu wetu wewe na nani? Jiongelee mwenyewe usitake kuweka watu wote kwenye kapu moja, wengine hatufagilii kuombwa hela na mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi kama mimi!


Mkuu naona kama umekwazika! Najua ni ngumu kumesa. Ila haikuwa na ulazima wewe kuhamaki. Wale wanaume wenzangu ambao tuko kwenye same wavelength kwenye mambo ya mahusiano wamenielewa vizuri. Kwa watu wa attitude yako (negative) ningeamua kutumia nafsi ya kwanza (mimi) kwenye submission zangu bado ungeishia pia kusema kuwa "najifanyia matangazo".

Obviously najua sio kila mwanaume anatimiza wajibu wake kwa mpenzi/mke au familia yake. But i do not intend to be personal to anybody...not even kwako.

Lakini ni muhimu pia kutambua kuwa hata kama mwanaume hatimizi hayo majukumu yake bado haimuondolei wajibu. Huo ni wajibu wa kiasili....Short of that inakuwa kama mwanaume ame-transfer wajibu wake kwa watu wengine. Ingawa madhara yake ni makubwa.

Nevertheless, ninaamini katika diversity....hata ya kimtazamo.
 
Hahaha nimecheka hadi kupaliwa huku. Nimekumbuka kuna yule mmoja alileta uzi yeye anataka kidude mara 5 kwa week afu hapo hajaoa na hawaishi pamoja na binti. Tumshukuru Mungu tumeshajizeekea khaaa ujana shughuli


Ha ha ha. Patamu hapo! Halafu HS hivi umekiita "kidude" kabisa ? Lol
 
Hahaha gelofriend wangu ndo kanifundisha hilo jina teh


Ha ha ha! I see....kuumbeee!

Sasa naona huyu gelofriend wako huyu anapitiliza sasa. Kibendela cha offside ni halali yake. Tumuwekee spidi gavana. Yaani na utundu wake wote tunaouona ameshindwa kabisa kubuni jina lingine tamu tamu hivi la kukiita kitu kilicho kitamu hivyo na kwa heshima stahili? Ha ha ha
 
Ha ha ha! I see....kuumbeee!

Sasa naona huyu gelofriend wako huyu anapitiliza sasa. Kibendela cha offside ni halali yake. Tumuwekee spidi gavana. Yaani na utundu wake wote tunaouona ameshindwa kabisa kubuni jina lingine tamu tamu hivi la kukiita kitu kilicho kitamu hivyo na kwa heshima stahili? Ha ha ha
Teh hilo ndo jina lake la ubunifu
 
Kuna rafiki yangu mwanajeshi... siku moja tupo naye hotelini akampigia demu wake akimwambia mbona anakua mshamba aombi hata helaaa... mjaribu tu pengine ana tamani umuombe so anakuona mshamba
 
Kuombwa pesa ni sheria ya kwanza ya mahusiano ukiona uombwi pesa mwanaume jua unadharaulika.
 
Back
Top Bottom